Baba wana mbwembwe sana!

Behaviourist

JF-Expert Member
Apr 8, 2016
39,901
95,404
 

Attachments

  • 1477231584291.jpg
    1477231584291.jpg
    31.5 KB · Views: 74
ndo ivyo tena kwa mama vitu kama ivyo havipatikani, baba ukiondoka siku mbili tu mtoto anakumiss
 
Acha kufananisha vitu vinavyopatkana kwa mama na vtu vya kijinga, kumbe baba hadi aondoke siku mbili ndo anamisiwa bt ikipita saa bila mama kuonekana mtoto anakua kichaa, hakuna kama mama.
pia hakuna kama baba! huwez kufananisha baba na vitu kama mama! baba anabaki kuwa baba na mama anabaki hivyoivyo
 
Back
Top Bottom