Baba wa hawa watoto akamatwe...............

Rutashubanyuma

JF-Expert Member
Sep 24, 2010
219,463
911,172
moz-screenshot-25.png
<table border="0" width="100%"><tbody><tr><td align="left" bgcolor="#d7f2f2" valign="top"><table border="0" cellpadding="0" cellspacing="0" width="100%"><tbody><tr><td align="left" bgcolor="#f4fdfd" valign="top">Picture of the Day</td> </tr> </tbody></table></td> </tr> <tr></tr><tr> <td class="redFont" align="center" valign="top">
</td> </tr> <tr><td align="center" valign="top">
04_11_ba8ju2.jpg
</td> </tr> <tr> <td class="kaziBody" align="center" valign="top">DOUBLE ROLE INDEED! A woman with a sight disability plays double role by taking care of her playful child while stretching the other hand in the quest for alms along Msimbazi Street in Dar es Salaam on Wednesday. (Photo by Robert Okanda)</td></tr></tbody></table>
 
Yaani hawa baba wa hawa watoto humtongoza saa ngapi huyu mama kipofu kumpachika mimba na mchana kuishia gizani????????????????? Ushauri wangu ni kuwa asakwe na kutiwa nguvuni...............................
 
Mungu msaidie mja wako mama na watoto wanaonekana wana afy njema, na nyie wababa muwe na huruma jamani
 
Kama haoni na huyo baba wa watoto atakuwa hamjui kabisa na ya wezekana si mmoja
Kwa ulemavu wake amekua victm labda wa kubakwa na mimba zinatunga na huyo mbakaji hata hajui kama ametengeneza kiumbe.
Sasa akamatwe kutoka wapi?
 
Nina mtazamo tofauti, kwanza kabisa ujue hata huyo mama yawezekana ana kiu ya kukutana kimwili, pili hatujathibitisha kwamba amebakwa, tatu yawezekana ni baba tofauti na pia kwanini wataalam wa ustawi wa jamii wasifmunge kizazi huyo mama??
je huyo mama alifikaje hapo alipo?
je mimi na wewe tumechangia kiasi gani kupunguza matatizo ya ombaomba?
what is the solution?

we have to deal with problems comprehensively
 
Yaani hawa baba wa hawa watoto humtongoza saa ngapi huyu mama kipofu kumpachika mimba na mchana kuishia gizani????????????????? Ushauri wangu ni kuwa asakwe na kutiwa nguvuni...............................

Wao kwa wao huzungukiana mida ya usiku baada ya shughuli zao.Unajua ile kitu haichagui hali ya mtu.Hata hivyo anatia huruma sana.
 
mimi nawaomba wanaume wanaowatumia hawa kina mama wa aina hii basi watumie KINGA MAANA MAMA HUYU HATA KAMA MWILI WAKE Unahitaji......... wanaweza kuambukizana magonjwa na MIMBA na matokeo yake ndio hayo hapo!!!!........wanaume wanaingia mitini
 
mambo hayo ni magumu kuelezea, ila isistaajabu kukuta kuwa huyo mama ana mume na wanaishi nyumba moja na ndiye humleta hapo kila siku na kumfuata kumrudisha nyumbani!

au ukakuta huyo mama kuna jamaa zake walishajitolea kumtunza lakini hukataa na kuwatoroka kwenda kuomba misaaga kama namna ya kujitegemea kwa vijisenti vyake mwenyewe

au kuna uwezekano wa kuzaa na ombaomba mwenzie na hawana makazi ya kueleweka na kila ifikapo asubuhi hugawana viwanja vya kuombea misaada

pele kwenye bustani oppsite na kituo cha mabasi cha fire utawaona hata wakifua na kukaa na wtoto kama familia, inaonekana kuwa katika "dunia yao" hiyo wanazo familia

serikali ina jukumu kubwa zaidi ya hilo la "kumkamata baba" kuwahakikishia hali ya ubinadamu ndugu zatu hawa

ooh, Mungu turehemu watoto wako
 
Sina uhakiaka kama huyo mama pia ni kipofu kweli au anaigiza, maana mjini shule. Ukiwacheki hao watoto ni wadogo labda kama kuna mtu anawavisha na kuwaleta hapo
.
 
Back
Top Bottom