DEVINE
JF-Expert Member
- Mar 11, 2011
- 536
- 86
Jama nina swali ivi ule mtindo wa wanafunzi kwenda shuleni namna ya baba ubaya (style) upo? Na kama upo maeneo gani na kwanini unaendelea? Maana nakumbuka ile kitu ilikuwa inapatikana kwenye fomu ya kujiunga (joining instructions).Sijui sasa..
NB;Baba Ubaya style,mtindo wa kwenda shuleni na mapanga,majembe,reki,sime hata visu.
NB;Baba Ubaya style,mtindo wa kwenda shuleni na mapanga,majembe,reki,sime hata visu.