Baba tulikupenda lakini Mungu alikupenda zaidi

asanteni wadau hapo juu. . .
unalo Mungi, fyi C6 kanipenda na umbumbumbu wangu. mbona mama z alikuwa mbumbumbu lakini akawa wasiri wa fweza lolest!!!!!!
 
Last edited by a moderator:
Japo nimechelewa kufika kufika jamvini kuhudhuria hichi kikao,Lakini hainizuii kutoa rambirambi zangu.
Pole sana charminglady.
 
Last edited by a moderator:
Ooh dear. Pole sana. God is good, this far He has brought you guys. Yeye ni baba wa yatima.
 
Back
Top Bottom