Baba tulikupenda lakini Mungu alikupenda zaidi

Kuna wakati wa kuzaliwa na wakati wa kufariki. Mungu aliyemleta baba yetu duniani hakutoa taarifa na wakati alipomtwaa mwaka 1997 vilevile hakupaswa kutoa taarifa. HUYO NDIYE MUNGU. We are now celebrating life well lived. Pamoja sana charminglady.
 
Last edited by a moderator:
charminglady and your family, you need to be thankful for all...
Ilimpendeza zaidi Maulana kumpumzisha kipenzi chenu...but that should not be the end of the world!
Be eyes to your future............
 
Poleni sana wapendwa mwenyezi mungu aendelee kuwapa ujasiri na mshikamo katika familia
Na tuliobakia tuendelee kuishi maisha yanayompendeza mungu siku zote
 
nawashukuru sana wadau wa chitchat kwa kunifariji.
Mungi mie kakongwe lolest. . . .
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom