Baba T

Mwendabure

JF-Expert Member
Mar 10, 2011
2,138
1,040
Wakuu!
Huyu jamaa alikuwa akiendesha kipindi cha Reggae pale East Africa Radio na baadae EATV pia. Naomba kujua ni Mtanzania au ni raia wa nchi gani? Na bado anaendelea na kazi yake? Binafsi navutiwa na umahiri wake ktk uga wa muziki wa Reggae hasa Roots Raggae.
 
Ni Mjamaica alitelowea Bongo. Anaishi Madale kwenya makazi ya ma rasta. Ni jah people wa ukweli na mkewe na wana watoto 2 ambao nao ni jah kids. Alianzia RTD kwenye External Service miaka ile ya 90 akiwa na rasta mwingine mwanamke jina limenitoka ila alikuwa na kabinti kakiitwa Precious.
 
ni mbongo yule ila kakaa sana jamaica ndo maana anakuwa vile..
<br />
<br />
Ni mjamaica wa asili, bongo hapa kaja kutafuta deal(maisha).
Anaishi tegeta, ni mtu anayeujua mziki wa kwao kwani ni ktk kile kizazi cha dhahabu cha kina, cocoa tea, dennis brown, jimmy cliff, the upsetters na lee perry! Jacob miller, gladiators, inner circle, third world etc.
 
Ni Mjamaica alitelowea Bongo. Anaishi Madale kwenya makazi ya ma rasta. Ni jah people wa ukweli na mkewe na wana watoto 2 ambao nao ni jah kids. Alianzia RTD kwenye External Service miaka ile ya 90 akiwa na rasta mwingine mwanamke jina limenitoka ila alikuwa na kabinti kakiitwa Precious.
<br />
<br />
Dah.. Jamaa namkubali sana, asante kwa hayo machache kwa faida ya wengi.
 
huyu jamaa ni mjamaica sema yuko hapa bongo kitambo
Wakuu!
Huyu jamaa alikuwa akiendesha kipindi cha Reggae pale East Africa Radio na baadae EATV pia. Naomba kujua ni Mtanzania au ni raia wa nchi gani? Na bado anaendelea na kazi yake? Binafsi navutiwa na umahiri wake ktk uga wa muziki wa Reggae hasa Roots Raggae.
 
Baba T ni mjamaica alikuja bongo kwenye miaka ya 80 ivi,nlwahi kumsikia kwenye one of his interview on friday 9t live (chanel 5) kuwa hajui kiswahili so nashangaa kukaa kote bongo halafu hajui kiswahili,2wekeni sawa mnaofahamu hili
 
Baba T mjamaica aliehamia bongo siku nyingi
anakaa tegeta na anakipindi EATV jumapili
kwa wanaopita old bagamoyo mida ya saa tatu asbh
anapendelea sana kutembea kwa miguu (walk to the office)
a.k.a `tz eleven`ana heshima sana
na aliwahi kuwa mwanamuziki kwenye kundi la CULTURE
 
Back
Top Bottom