Baba Paroko

jamani ivi huo wimbo wa baba paroko kaimba nani...mi nahisi ni sauti ya PAPA WEMBA....naombeni uhakika jamani
 
Huu wimbo ni mkali, ila watu wengi hawajui mda mzuri wa kuucheza. Jana nilikudhuria harusi ya mpwa wangu, wakaucheza wakati wa maakuli, seriously.........newly weds.....wazee kwa watoto wanasikiliza habari za vipepsi na unyumba.....maaakuli......KENNY G WAPI??? DAVE KOZ je???:doh:
 
Yaani umecheza kweli...!!!! manake na mimi nilikuwa nautafuta kweli huu wimbo.. ubarikiwe mpaka ushangae... Manake nikafikiri sasa nitafute contact za huyu huyu makassy jr..lol!!!
 
habari zenu wadau.....heri ya mwaka mpya.....naomba kama kuna mtu anaeza nisaidia wimbo wa emmanuel nkulila "PAIN IN ME" afanye ivyo maana nimeutafuta bila mafanikio...asanteni sana!!
 
mkuu unatisha sana, nimejaribu kuutafuta baada ya kuulizwa na jamaa yangu nimechemka mpaka nilipoingia JAMII FORAMU. ULIPIGWA MWAKA GANI WIMBO HUU?
 
Naomba saana mwenye ujuzi anisaidie. Nautafuta au namtafuta aliyeimba wimbo uliotamba sana ktk madisco ya tanzania miaka ya 90'. Jina silijui ila una maneno yafuatayo kibwagizo,' told you to go babe, but how much i love you so haha... ha ha.

Mwanzo unaanza hivi: gimme a motherf****r babe babe babe.....

Kama wewe ni dj au unaukumbuka wimbo huu basi naomba saana unisaidie tafadhari.
 
hyo nymbo ya baba paroko nani kaimba, cz nilikuwa nautfta sana nimekuta rink google imenifanya nisign up jamii forum
 
Back
Top Bottom