Baba nataka kuoa

BIN BOR

JF-Expert Member
Nov 23, 2010
1,013
407
"Baba nataka kuoa"

"Huwezi kuoa sasa mwanangu, wewe bado mdogo, lazima ukue na kupata mwanamke unayempenda."

"Nimeshampata baba"

"Umempata! Nani?"

"Bibi"

"Bibi yako ni mama yangu, huwezi kumwoa wewe!"

"Kwa nini nisiweze na ninampenda"

"Huelewi? huwezi kumwoa mama yangu!"

"Mbona wewe uliweza ulimwoa mama yangu?"
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom