Baba na mwana..!

Mtimti

JF-Expert Member
Feb 23, 2008
942
644
IMG_9821.JPG

waziri mkuu mizengo pinda akiwa na baba yake mzazi.
 
Nothing against family ties but what's political about this?
A different category may be?
 
Pinda kama hapo ndo kwenu!wajengee wazazi wako nyumba bora za kisasa
 
i really like nchi yangu,hajajenga kwao wabongo twamwambia ajenge akijenga tutamwita fisadi na kusema anakula jasho letu!!!loooh!

Hii sio mchezo "Ndivyo tulivyo"

We always look for ways to make others feel iresponsible, then when they do what we think we shout ati ufisadi!!!
 
Huyu Waziri wetu mkuu Mungu amembariki sana.
Umri alio nao na bado ana wazazi wake wote wawili.

Mungu azidi kumbariki pamoja na wazazi wake. Amen.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom