Waafrika haituhusu
Kama yapi?Tusipende kuiga kila kitu,haya mambo ya wakoloni tuwaachie wenyewe.
Ina maana huyajui madamX?hata ufisadi wa magamba ni mambo ya wakoloni...wanawake kutembea uchi town huwezi jua anaenda ofisini au club,hizi zote ni balaa la wakoloni....Kama yapi?
Wanaume, wachache sana ni walezi. Nyie wakiTZ ndo usiseme ukiachiwa ulezi hata mama kenda dukani eti keshakuwa Bushoke
Tusipende kuiga kila kitu,haya mambo ya wakoloni tuwaachie wenyewe.
Inatuhusu sanaaa,
tena nyie wa Tz ndo kabisaaa!!!
Mmezidi.
Wanaume, wachache sana ni walezi. Nyie wakiTZ ndo usiseme ukiachiwa ulezi hata mama kenda dukani eti keshakuwa Bushoke
Nakubaliana na wewe mkuu,sisi hatuna utamaduni huo toka enzi za mababu na watoto wanakuwa vizuri tena kwa maadili sasa hivi wanatuletea mambo yao eti na mwanamme apewe likizo ya uzazi,mtoto akilia nitamnyonyesha?Nakubaliana na wewe...Wanaume wa Kibongo hatuwezi kufanya ulezi kama wa hao jamaa ambao unakuta dume linashinda na mtoto for over 12hrs kwa sababu tuna sababu za msingi!
Kwa mfano, utakaaje na mtoto mdogo muda mrefu wakati una house girl na wanawasichana wengine kibao ndani ya nyumba? Na wakati huo, unatakiwa kukimbiza mwenge kusaka pesa ya kula??
Ila siyo kwamba hatujui kulea, tunalea kwa namna yetu wenyewe, which is special for us only....!!!
Babu DC!!
Mkuu, social behaviour zinajengwa na tamaduni, perception ya jamii iliyokuzunguka kususu mambo tofauti na ustaarabu wa kuiga kutokana na watu kukaa mbali na tamaduni zilizowakuza. Kwenda shule ni moja ya sehemu hiyo.Nakubaliana na wewe mkuu,sisi hatuna utamaduni huo toka enzi za mababu na watoto wanakuwa vizuri tena kwa maadili sasa hivi wanatuletea mambo yao eti na mwanamme apewe likizo ya uzazi,mtoto akilia nitamnyonyesha?
Kweli kabisa mkuu. Hata kama yanatokea mabadiliko, ni muhimu yaende taratibu badala ya kutaka overnight transformation.Mkuu, social behaviour zinajengwa na tamaduni, perception ya jamii iliyokuzunguka kususu mambo tofauti na ustaarabu wa kuiga kutokana na watu kukaa mbali na tamaduni zilizowakuza. Kwenda shule ni moja ya sehemu hiyo.Sasa inakera pale ambapo wanawake wanataka kulazimisha kuacha yale yote waliyokuwa nayo na kukumbatia waliyoyakuta vyuoni na makazini na kwenye semina na warsha na kwenye Luninga na magazines.Binadamu sio kama crane, unaswitch on hiki na kuswitch off kile.