Baba na Housegirl

Gaga

JF-Expert Member
Jan 6, 2011
4,558
1,968
Kuna familia moja ambayo baba na mama wote wako busy sana na majukumu yao kwa hiyo wakitoka huwa housegirl anaenda kusafisha chumbani na kuweka mambo safi kila mahala. Sasa kuna siku moja baba alichelewa kuondoka nyumbani, housegirl alipoona hivyo akaamua kumgongea baba na kumwambia anataka kufanya usafi ili aendelee na majukumu ya kila siku. Baba akamwambia aingie chumbani kufanya huo usafi.
wakati anafagia uvunguni mwa kitanda mara akaona condom iliyotumika akawa anaishangaa huku ameishika mkononi

Baba: unashangaa nini endelea na usafi kwani kwenu huwa hamfanyi
Housegirl: Tunafanyaga lakini ngozi huwa hazibanduki

Jamani wahusika enezeni elimu za condom vijijini. teteteheeee lol
 
Dah jaman kweli elimu ya condom yatakiwa jamani. ina maana alikotoka hajawahi kuona kitu kama hicho
 
wakati anafagia uvunguni mwa kitanda mara akaona condom iliyotumika akawa anaishangaa huku ameishika mkononi

Baba: unashangaa nini endelea na usafi kwani kwenu huwa hamfanyi
Housegirl: Tunafanyaga lakini ngozi huwa hazibanduki

Sasa kama alikuwa anaishangaa alijuaje kuwa huwa inatumika kwa shughuli hiyo, hapo sikubaliani na wewe
Labda kama aliuliza nikitu gani cze angeweza hisi ni puto lina makamasi/makohozi!!!!!!
 
Aliona ile ndom imekaa mfano wa ile kitu, akatambua
Sasa kama alikuwa anaishangaa alijuaje kuwa huwa inatumika kwa shughuli hiyo, hapo sikubaliani na wewe
Labda kama aliuliza nikitu gani cze angeweza hisi ni puto lina makamasi/makohozi!!!!!!
 
Back
Top Bottom