Baba mzazi wa Lulu aibua mazito

Kwanza amuulize binti yake kwa nini alisema ana miaka 18..
Hawezi kumuuliza kwa sababu watoto wengi wana tabia ya kujikuza
mfano, mimi nilipokuwa mdogo nilikuwa naweka majani fulani kidevuni
ili nionekane kuwa nina ndevu, pia mabinti walikuwa wanaweka vifuu
kifuani kwa hiyo si ajabu kwa kizazi cha TV kujikuza au kujirudisha nyuma.
Angekuwa mchezaji wa mpira angejirudisha nyuma umri wake.
 
Alisema angependa kukutana na Rais Jakaya Kikwete ili azungumze naye kama rafiki yake na watafute suluhisho la maadili kwa kizazi cha sasa na cha baadaye.
Rais Kikwete kweli ana suluhisho la maadili kwa kizazi cha sasa? Just wondering



mchaga na hela!...baba Lulu hapa ameshaona mbalii...(kuna dili anataka kulitekeleza)

Issue ya mwanae ataigeuza kuwa mtaji wa kukutana na Kikwete
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom