Baba mwanaasha unawafukuza lini hawa?

hahaha ...kwa hiyo unafikiri huyu dogo mko level moja? unafikiri mtakutana mtaani ee? kalabagaho

kwani tunasoma ili tukutane na mwaasha? We vipi??
Kama alijua baba yake raisi kwanini alienda kusoma tena kwa kuwaangaisha wazazi kuhama shule moja hadi nyingine kutokana na ukilaza wake..
Yeye ana akili ndogo kama mshua wake na swala la kutolingana halioa mashiko hata kidogo.
 
ata humu wamo waliopata mwanaasha ila basi tu yeye kasoma feza.
Mimi nilipata kama mwanaasha nikaresit nikapata C tano, nikaendele makongo sec form V&VI nikapata div II , point 10 . Nikaenda IFM nikasoma adv dip nikapiga GPA ya 4.0 na baadeye nikaend UDSM Mlimani nikapiha post dip ya computer. Sc,nikafanya kazi 3yrs nikakusanya fedha nikaenda uk nikapiga Msc mwaka mmoja . Sasa hivi mimi ni meneja wa IT wa international org moja , I'm highly paid n can afford middle class life kuliko wengi mliopata dv I form IV miaka 14 iliyopita na wengine walinicheka sana leo they can't compete with me katika utaalam na pesa pia . Msimnyanyase bint wa watu bado ana chance ya kufanikiwa na hiyo div Iv yake
 
Nakubaliana na wewe kuwa mzazi anahusika kwa namna moja ama nyingine kuathiri matokeo ya mtihani wa mwanaye, lakini hicho sio kigezo pekee kinachosababisha kufaulu au kushindwa kwa mtoto mitihani.kuna vigezo vingi vinavyoathiri matokeo ya mtihani wa mwanafunzi.

Jaribu kuangalia kwa undani kuanzia mtoto anapojianda kufanya mtihani, anaposimamiwa kufanya mtihani, mtihani unaposahihishwa,na matokeo yanavyoandaliwa ili kutangazwa. Yawezekana kabisa katika hatua hizi mzazi anakuwa hana tena wezo wa kuathiri kwa uzuri matokeo ya mwanafunzi, mfano mzazi hasahihishi mtihani. Yawezekana kabisa pia Binti huyu akikata rufaa mtihani wake ukasahihishwa upya ukakuta kumbe alifaulu kwa alama za juu kabisa ila msahihishaji/wasahihishaji alimkosesha. Kesi za namna hii zipo nyingi.

Appeal hazina mashiko. Utendaji na usahihishaji mitihani haina ufelishaji. Mtihani mmoja unapita mikononi mwa wengi na kuhakikiwa. Fuatilia wanaoappeal utaona wanagonga ukuta tu. Mtu kama hakujiandaa vizuri NI LAZIMA A-ROTATE!.
 
Back
Top Bottom