Baba Mnene!

wende

JF-Expert Member
Sep 6, 2009
714
65
Kuna dingi ni mnene ile mbaya, basi wakati amenda job huku home akiwa amewacha wanae akaja rafiki yake ambaye ukweli ni mnene kupitiliza!
Mgeni:Baba yenu yupo?
Watoto:Hapana....baba kaenda job.
Mgeni: Haya akirudi mwambieni nilikuja
Watoto: Haya
Basi huku nyuma baba akarudi toka job. Cha kwanza watoto wakampokea vizuri na kumweleza yaliyojiri kuwa baba kuna mgeni wako kaja kukulizia.
Watoto: Ila baba du
Baba: vipi?
Watoto: Yaani baba huyo mgeni alokuja alivyomnenee!
Baba: What?
Watoto: Baba rafiki yako anatisha,unene wako kwa yule jamaa,wewe ni cha mtoto!
Baba: What?
Watoto: Baba, rafiki yako amekuzidi unene!
Baba: ha ha ha ha

...yaani dingi anacheka mpaka kasahau kuuliza jina la mgeni...........
sorry kwa wanene,this is just a joke!
 
Back
Top Bottom