Baba,mama na watoto wote wanalalamika...

kitero

JF-Expert Member
Feb 21, 2012
563
109
Bungeni ,mbunge analalamika ,naibu waziri, mwana nchi na waziri wote wanalalamika nani wakumsaidia mwenzake? bungeni kila siku kamati zinatoa maoni lakini hayatekelezwi tunakwenda au tunapelekwa wapi?
 
hizo ndo hoja za mdee na lissu na wametoa mapendekezo yao.
 
Back
Top Bottom