Baba kwa binti aliyemzaa mwenyewe???

Jibu ninalo ila nkiandika humu ntaonekana mi ni mkabila

Ah wachana nao!!
Nipe hesabu ya leo dukani na gereji
Mi namalizia ya hardware,ya shambani na mifugo gervasi atafunga by saa 3!
Utanikuta kimara au temboni?
 
lakini haya yako widespread kiasi gani maana mimi leo ndio mara yangu ya kwanza kusikia na best friend wangu ni mchaga. I have hung around chagas a lot. Na hata siku moja sijawahi sikia hii.

nchi hii ukiwa na maendeleo unachukiwa na kuzushiwa uwongo na kashfa nzito nzito ili usiendelee poor vyasaka
 
Jirani zangu wawili wanawala binti zao wa kuwazaa wenyewe. mmoja ni mhehe mama ilibidi afungashe binti hadi amezaa. mwingine ni mswahili siri ilipogundulika waliuza mji wa kahamia kibaha. .................................................... ................. wa tatu alivunja rekodi mama mzazi alikufa na maradhi baba akawa anamla binti akampa maradhi na binti alikufa na tukamzika hawa ni wagogo. ......................................................................... Akina baba ni nini hiki??
 
mi mwenyewe nina mpenz wangu (25 yrs),ana ukaribu fulan na dingi yake mhhh mpaka naogopa.maana ukiona sms wanazoandikiana na siri wanazoambiana huwa napata maswali mengi sn.
 
Hivi baba unaanzaje kuwa na mahusiano ya kimapenzi na Binti yako uliyemzaa mwenyewe??nini tatizo uzungu mwingi?au nipepo?

Wewe ukitaka baba ako alichambue sambusa jaribu kujifanya mnaishi maisha ya kizungu kila aendapo na ww upo akirudi anakubusu mara kakupeleka beach hili nitatizo 2 most of african family uone kama hajakutafuna
 
Back
Top Bottom