Baba Kikwete Jiuzulu Kulinusuru Tanzania!

Kikwete ni zezeta,mi si mtambui kama rais wa Tanzania,namtambua kama jambazi sugu wa mali za watanzania yeye na serikali yake ya CCM!
 
Jamani muogopeni Mungu, asilimia tisini ya matatizo yaliyopo sasa hivi Jk kayakuta, mfano ufisadi wote kwenye madini, umeme na Epa vimefanyika wakati wa Mkapa.Leo hii Jk anatupiwa lawama ambazo kimsingi kazikuta, sidhani hata kama angepewe nchi huyo Slaa wenu kama angeweza fanya chochote zaidi ya kusema kuwa ilani yetu iko hivi.

Kwa hiyo wewe ukihamia kwenye nyumba ukakuta mpangaji aliyetoka ameacha matandabui, vumbi na kuta chafu utaacha hivyo hivyo?
 
Jamani muogopeni Mungu, asilimia tisini ya matatizo yaliyopo sasa hivi Jk kayakuta, mfano ufisadi wote kwenye madini, umeme na Epa vimefanyika wakati wa Mkapa.Leo hii Jk anatupiwa lawama ambazo kimsingi kazikuta, sidhani hata kama angepewe nchi huyo Slaa wenu kama angeweza fanya chochote zaidi ya kusema kuwa ilani yetu iko hivi.

Tuthibitishie kuwa si JK aliye shiriki ununuzi wa rada feki uliogharimu mabilioni ya pesa akiwa kama waziri wa mambo ya nje.
 
Unataka JK ajihuzuru wakati wewe ni mtoto wa mtu aliyefilisi moja ya mashirika ya umma inchini kwa kukwiba pesa nyingi, na kakusomesha shule nzuri, kazi nzuri hata nyanya tu unanunua Mlimani City hayo huyaoni ila unaona ya JK tu? Acha zako bana!

Ndo nyie wanaoitwa akili m.avi au akili tope, nyoko
 
Watanzania laana tunajitafutia wenyewe. Hii jazba inatoka wapi? Imeandikwa ziitii mamlaka za dunia maana zimewekwa na mungu mwenyewe. Jaa jzba yetu inataka kubadili amri ya mungu. Daudi mara nyingi sana alipata nafasi ya kumuua sauli adui yake lakini alisema mungu ndie atakaye muondoa madarakani. Tumwombee rais wetu jamani
 
Uhali gani wana jf ?natumai mwenyez mungu atakua ametupa afya tele.!
najitokeza kuumpa pole jk kwakuongoza Taifa ambalo kila sekta muhim ilikua imebinafsishwa.daah jamaa hana pakukimbilia kila akienda huku anakuta mkapa na mwinyi walishapiga kufuri..yaani kabakisha kicheko cha kutuchekea wananchi,tena cha zaid kakuta Taifa limeerimika akitikisa hata ukope...!watu wanamshika mkono,duu pole sana mkuu wenifundi bati tu!, waliotengeneza msingi ndowanaofaa kulaumiwa(Mkapa & mwinyi).unakumbuka huu msemo "maisha bora kwakila MTZ"naufananisha na huu"Kuifanya Dunia kua kijiji kimoja"nahisi umekua mwizi washkurani kwa waTz.POLE SANA MH JK!
 
unampa pole ya nini wakati aliachiwa uchumi uko mzuri na mzee Mkapa. Yeye na umbayuwayu wake akawaruhusu mafisadi kufanya chochote wanachotaka hana cha kuhurumuwa huyu
 
acha kudandia gari kwa mbele,Rada ilinunuliwa wakati wa bichwa mkapa na ndo mana chenge anahusishwa kwa sababu alikuwa ndo mwanasheria mkuu wa serikali.Thibitisha ww kikwete anahusika vp
Tuthibitishie kuwa si JK aliye shiriki ununuzi wa rada feki uliogharimu mabilioni ya pesa akiwa kama waziri wa mambo ya nje.
 
Mimi mwenzenu ndio nipo nanawa mikono ili nianze kuila sura ya JK coz ni handsome. Si mnakumbuka kuwa kuna watu walimchagua coz eti ni handsome!
 
acha kudandia gari kwa mbele,Rada ilinunuliwa wakati wa bichwa mkapa na ndo mana chenge anahusishwa kwa sababu alikuwa ndo mwanasheria mkuu wa serikali.Thibitisha ww kikwete anahusika vp
Daima ukishaivaa miwani ya udini huwezi kufiri/kuona mbali! Hivi JK wakati wa utawala wa Mkapa alikuwa ana wadhifa gani na ni yepi yalikuwa majukumu yake?
 
jamani muogopeni mungu, asilimia tisini ya matatizo yaliyopo sasa hivi jk kayakuta, mfano ufisadi wote kwenye madini, umeme na epa vimefanyika wakati wa mkapa.leo hii jk anatupiwa lawama ambazo kimsingi kazikuta, sidhani hata kama angepewe nchi huyo slaa wenu kama angeweza fanya chochote zaidi ya kusema kuwa ilani yetu iko hivi.

kama kayakuta kazi yake ni kuonyesha njia ya kuyakabili na kuyarekebisha sio kulalama tu ina maana ukioa mwanamke ambae alikua anajiuza mitaani basi hauwezi kumrekebisha eti kwa kuwa ulimkuta hivyo? Acha utetezi dhaifu ambao hauna hata maana kwa jamii
 
Tatizo Mkuu unadhani hawa hawaijui haki hakisi? Lakini hakuna marefu yasiyo na mwisho !
 
Mtoto mzuri km ww unataabika sijui maisha magumu na hupati mahitaji yako kwa nn ujitese jamani ? njoo kwangu nikupe kila kitu na hayo mateso ndio itakuwa historia kwako

Jamani muogopeni Mungu, asilimia tisini ya matatizo yaliyopo sasa hivi Jk kayakuta, mfano ufisadi wote kwenye madini, umeme na Epa vimefanyika wakati wa Mkapa.Leo hii Jk anatupiwa lawama ambazo kimsingi kazikuta, sidhani hata kama angepewe nchi huyo Slaa wenu kama angeweza fanya chochote zaidi ya kusema kuwa ilani yetu iko hivi.
unanichekesha alizikuta ili azishughulikie na si aziendeleze,
yeye alichofanya nikuongeza tuu kwa maneno hayo unamaanisha ccm imeshindwa??
 
Yaani nchi hii kweli kuna w e n d a wa zi mu kweli kweli, eti ndio great thinker huyo! na akili zako timamu unaweza kuandika vitu bila kufikiri kweli?

Kikwete aliikuta nchi IMESHAOZA na IMESHAUZWA YOTE, ukianzia kwenye madini Mkapa aliuza kila kitu kwa taarifa yako Mkapa alitaka kuuza mpaka ardhi maeneo ya Msasani kule iwe base ya wamarekani wabunge wakamjia juu, alitaka kuuza ardhi na KUMILIKISHA IWE MAISHA! wabunge kustkia dili hilo wakamjia juu ndio watu wa msasani wakanusurika.

Kikwete amekuta matatizo lukuki ambayo ameacha Mkapa! mbona kapa alipojiuzia Kiwira ambayo yeye kama Rais mzalendo alitakiwa aboreshe Kiwira ili wananchi wake wafaidike na kiwira sidhani kama leo tungekuwa na matatizo ya Umeme!

Mkapa ameuza nyumba za serikali na kumuachia mwenzie Dhimma kubwa mpaka leo baadhi ya wafanyakazi wa serikalini wanakaa mahoteli ni kuwabebesha mzigo mkubwa serikali.

EPA zote ni matokeo ya Mkapa leo kuingia Kikwete kawafichua amekuwa mbaya!

Ndege ya Rais ilinunuliwa na nani? na sasa hivi tunasikia ni mbovu

Je NA Radar kwa bei kubwa ? mbona hamkusema enzi hizo MLIFYATA MIDOMO! leo mtoto wa kiungwana wa watu ameingia kujaribu angalau kutatua matatizo basi amekuwa hafai! nani angefaa ? hivi uachiwe ofisi tupu haina viti wa meza wala vitendea kazi na pesa hamna je wewe unaweza kufanyakazi katika ofisi hiyo ! nadnhi mna upunguani wa akili ya kufikiri wewe ndio great thinker ! kweli JF sasa hivi inapoteza HADHI YAKE !
 
Back
Top Bottom