Baba kamwaga mboga,mama naye.....!

Jaguar

JF-Expert Member
Mar 6, 2011
3,438
1,025
(KIJANA);Baba,nimepata mchumba hapo mtaa wa pili,anaitwa Sandra! (BABA);Ooops,samahani kijana wangu,ila usimwambie mama yako,sandra ni dada yako,si unajua mambo ya ujana mwanangu! (KIJANA);{siku nyingine},baba nimepata mchumba anaitwa angel,anaishi pale kwa mwalimu Mushi. (BABA);Duuh,mwanangu una mkosi wewe!samahani kijana wangu sikukwambia,huyo naye pia ni dadako ila kuwa kama mwanaume usimwambie mamako!. >>>>>Kijana aliondoka huku machozi yakimbubujika,akaenda kumweleza mama yake ukweli wote.Mama akamwambia kwa upole;'usihofu mwanangu,hata hivyo huyu si babako mzazi,kwa hiyo chagua kati ya Sandra na Angel uoe unayempenda!'.
 
Mm kila siku nasema mwenye uhakika na mtoto ni mama lkn sisi midume tunalea tu.
 
hapo Baba kamwaga mboga,na Mama akamaliza kabisa kwa kumwaga na ugali. Sasa tuone nani atakula leo!
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom