Baba bora wa JF

Hahahaha umenipa maujiko afu ukamalizia na mharibiko ...... khaa!
I think this explains why...
kuna mababa wanakula kuku na mayai yake:madgrin:

Wewe babu yangu ulikua unatoaga maushauri mazuri sana wewe and i remember my aunts walikuwa wanafaidi sana kwa michango yako tatizo lilikuja ulipoongeza muda wa kukalia viti virefu....
Afu sor ile ofa ndo naiona asubuhi hii...can it be carried forward!???
 
Dark City hahaha..kwa kutafuta maujiko!?? Haya bana..itabidi Bibi DC aje atueleze hapa...

Ila pia bwana @The Boss nadhani ningeweza kumpa namba 3......


Wewe Mentor bwana.....

Unaamua kumrusha babu asubuhi hii...

Ngoja nimpe hii msg Bibi DC aniandalie supu ya makongoro!

Babu DC!!
 
Last edited by a moderator:
napenda sana jina langu Asprin manake wengi lawatatiza kulitaja. Hawa vidume wangu ni noma sana, binafsi najisifu kazi ya usiku na GY haikwenda bure lol! kwanza mahandsome pili wana akili sana tatu heshima mkononi, nne wanapata madesa ya kuwa wababa bora kutoka kwa GY kwani he is ever a good dady to them.

Hofu yangu kwa hivyo vibinti vinasoma bweni lol......... sijui mimi ila uwani na sebuleni hapakawii kuharibiwa ama na @mr rock au wenyewe. take care aisee. But nakuombea sana na siyo wewe tu wote wanaolea watoto wadogo wakike kwa wakiume napiga magoti sana juu yenu na wanenu.

Duh! haya bwana!
 
Back
Top Bottom