Baba bora wa JF

Mtazamo wangu thread ingekua ya kujadili namna baba bora anavyotakiwa kuwa. . . . . . . . Kuhusu baba yangu,ooooh too bad ametangulia mbele ya haki but alikua BABA kwangu,i do mis him much.Kuhusu mimi sitaki kusema nitakua baba gani,sisemi kwa sababu sitaki kujisifia!
 
Kwa kutumia antena ya kutizama post tu, nadhani Dark City ni baba mzuri sana.

Kwa Jeiefu..mimi nadhani
1. Dark City

2. Babu yangu wa ukweh.. Asprin...ila nimempa nafasi ya pili kwasababu tangu aanze kuzeeka... :disapointed:

Wakuu Kongosho na Mentor,

Nawashukuru sana na kuhsshimu maoni yenu...

Hata hivyo vigezo vinavyotumiwa kupimia baba bora au mume bora siyo unversal..

Ndiyo maana, matendo yangu mie na ndugu The Boss (ya kubemba matenga ya kuku, mikaa na matunda) yalipondwa sana hapa JF kwamba siyo romantic..Ikiwa na maana kwamba, yale tunayoyafanya kuhakikisha kuwa familia zinapata mahitaji ya kutosha, mara nyingi siyo yanayowapagawisha wadau zetu...!!

Haya sasa, utaweza kuwa baba bora kabla ya kuwa mume bora??

Babu DC!!
 
Last edited by a moderator:
Dark City, sidhani kama unaweza kuwa baba mzuri bila kuwa mume mzuri.

Hayo ya matenga ya nyanya, jogoo, mchele na mkaa siku ya wapendanao ndo yamenifanya nikakuchagua kuwa baba mzuri only if kama unafanya kweli hayo.
 
Ndugu yangu Kongosho,

Hebu acha kutuchanganya....Kwa kufanya hayo, wenyewe walishasema unakuwa siyo romantic...Sasa unawezaje kuwa mume bora wakati si romantic?

Babu DC!!
 
Last edited by a moderator:
Dark City, siwasemei wengine
najisemea mie

interpretation za romantic ni tofauti mno katika dunia ya dot com ukichanganya na sie wa enzi za nuhu lol

hao wa kutaka 'candle dinner', 'pillow fight' na 'sun bath' nao wana dunia yao, siwezi wapinga wawazacho.

Ahsante sana Kongosho!

Inatia moyo kujua kuwa kumbe tuna wenzetu ambao angalau wanawaza kama sie na wanatuelewa fika!! Ngoja tuwaache wabwanga na wadee wa dotcom nao waje na mambo yao!

Nabwaga manyanga!

Babu DC!!
 
Last edited by a moderator:
tatizo humu ni ngumu kujua yupi baba yupi mama yupi kaka yupi dada, maisha ya humu ni fake kuanzia majina, posts........ kuna akina Kongosho wengi humu, hawaeleweki

kabisa kuna member humu kama kongosho asiyeeleweka jinsia yake,kuna mwine sitamtaja. Ni dume na nilishawasiliana naye,lakini humu jf watu wanajua ni jike kwa 100% na majukwaa yote hapa jf wanajua ni jike.
 
Last edited by a moderator:
kabisa kuna member humu kama kongosho asiyeeleweka jinsia yake,kuna mwine sitamtaja. Ni dume na nilishawasiliana naye,lakini humu jf watu wanajua ni jike kwa 100% na majukwaa yote hapa jf wanajua ni jike.
ha haaaaaaaaaaa, mtatongoza waume wenzenu humu ndani, hiyo ni kama bado hamjafanya hivyo, lol!
 
afu kuna mwingine kasema sieleweki lol

mbona naeleweka kabisa, mie ni Kongosho aka Konnie?

kabisa kuna member humu kama kongosho asiyeeleweka jinsia yake,kuna mwine sitamtaja. Ni dume na nilishawasiliana naye,lakini humu jf watu wanajua ni jike kwa 100% na majukwaa yote hapa jf wanajua ni jike.
 
Kwa Jeiefu..mimi nadhani
1. Dark City

2. Babu yangu wa ukweh.. Asprin...ila nimempa nafasi ya pili kwasababu tangu aanze kuzeeka... :disapointed:
Hahahaha umenipa maujiko afu ukamalizia na mharibiko ...... khaa! Hata hivyo ODM anakupa mheshimiwa Mentor :clap2: matatu ya heshima. Leo ukitoka kibaruani upitie home nikupe juche la "Namna bora ya kuishi na familia, ukaonekana baba bora japokuwa hauna ubora"

Binafsi nasema baba bora wa jf ni Mwana Mtoka Pabaya, Bazazi na ukweli siwez kufunga pasi kumtaja mzazi mwenzangu baba mzaa chema Asprin. Hao wakwe zangu please usimwachie @ mr rocky au Bishanga wakawabi....ri
Hii post naiprint na ntaipeleka kwa bibi yenu ili aone jinsi navyoheshimika pamoja na kuwa kinara wa kupiga ulabu kaunta ya juu. Afu hivyo vijamaa ushavipa twisheni ya jinsi ya kuishi na mabinti zangu? Usisahau vishazoea kulelewa na "mwanaume" wa ukweli. Baada ya kusema hayo nakupa shkang gfsonwin. Damn! Jina lako gumu kama makande ya jela.
 
Last edited by a moderator:
Hahahaha umenipa maujiko afu ukamalizia na mharibiko ...... khaa! Hata hivyo ODM anakupa mheshimiwa Mentor :clap2: matatu ya heshima. Leo ukitoka kibaruani upitie home nikupe juche la "Namna bora ya kuishi na familia, ukaonekana baba bora japokuwa hauna ubora"

Hii post naiprint na ntaipeleka kwa bibi yenu ili aone jinsi navyoheshimika pamoja na kuwa kinara wa kupiga ulabu kaunta ya juu. Afu hivyo vijamaa ushavipa twisheni ya jinsi ya kuishi na mabinti zangu? Usisahau vishazoea kulelewa na "mwanaume" wa ukweli. Baada ya kusema hayo nakupa shkang gfsonwin. Damn! Jina lako gumu kama makande ya jela.

napenda sana jina langu Asprin manake wengi lawatatiza kulitaja. Hawa vidume wangu ni noma sana, binafsi najisifu kazi ya usiku na GY haikwenda bure lol! kwanza mahandsome pili wana akili sana tatu heshima mkononi, nne wanapata madesa ya kuwa wababa bora kutoka kwa GY kwani he is ever a good dady to them.

Hofu yangu kwa hivyo vibinti vinasoma bweni lol......... sijui mimi ila uwani na sebuleni hapakawii kuharibiwa ama na @mr rock au wenyewe. take care aisee. But nakuombea sana na siyo wewe tu wote wanaolea watoto wadogo wakike kwa wakiume napiga magoti sana juu yenu na wanenu.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom