Raia Fulani
JF-Expert Member
- Mar 12, 2009
- 10,877
- 2,758
sasa imeondolewaje? Ina maana vile visiwa pale baharini vitatoweka?
duhu, kazi kweli kweli, wewe unamawazo ya maji maji? Tope tope?
Kama By nature ndivyo mlivyo, kungangania kisicho chenu! Kwani hii ni tabia gani mlionayo nyie kwa mtu kutaka chake nyie mkachukia? Atakae chake apewe tu isiwepo longolongo! Mbona yangelikwishakwisha na hiyo filamu unayotaka kuiona ingekwishafika END kama kweli ni waungwana wa kujuwa neno sitaki!Natamani na sisi huku bara tungeandamana kuwaunga mkono wapewe ki nchi chao. tubaki kwa mbali tukiwawtch - tuuone huo umoja wao na wanavyopendana.
Nimejua ni kwa nini Baba wa Taifa alisema angekuwa na uwezo angevisukumia mbali vile visiwa. Maana by nature wale jamaa ndivyo walivyo.
Tatizo lako ww msahaulifu, unaikukumbuka ile kesi ya uhaini ya akina DUNI hapo Zenj, Jaji alisema nini? mbona hukupinga wakati ule au sasa baada ya ndoa ya vyama umesahau. Halafu bila haya wala soni unanitukana kinafadhaisha tutawavumilia mpaka lini? Jielimishe na uondoke kwenye chupa humo ulimojifungia. ZANZIBAR SIO NCHI kama ni nchi nioneshe passport yako ya kusafiria. ACHA Ubishi realznzrian ZENJ sio nchi. and acha kutukana watu, tuna heshima zetu unatufulia hali hewa. ZANZIBAR SIO NCHI
Hawa jamaa wanakera!!
2unganishe nchi iwe 1 wakome ku2zingua.
Wanakeraaaaaaaaaaaaaa!!!!
Wenyewe wanabaguana sanaa je? wakiwa wenyewe!!!
why always Zenj? Watu 2m wanasumbua 40m? Rais kakaa kimya tu! Baraza la mawaziri kimya! Wabunge wa CCM kimya! Wanaharakati kimya! Wanasheria kimya! HIVI Watanganyika tumerogwa?
Kwa hili Wazanzibar sidhani kama wako sahihi lakini tuone muda ukifika
MALARIA DUGU IMEPANDA KICHWANI EEHH;WEWE UNAFAFIKIRI HAO WALA UROJO WANAWEZA KUWA NA MAWAZO YA KIMAPINDUZI AU WANAFIKIRIA VIKOI NA DAKU??
NINGEKUWA RAISI HUU MUUNGANO NINGALIUVUNJILIA MBALI SIKU NYINGI HOA WAZANZIBARI WANACHEZA BAO KUTWA KUCHA SISI HUKU TUNAPIGIKA HALAFU MWISHO WA SIKU TRA WANAWAPA GAWIO LINALOTOKANA NA KODI ZETU
WEWE Na HAO WALA UROJO MASABURI NYIE
Hapo kwenye red rekebisha. wale jamaa ni sawa na idadi ya wananchi wa mbagala tu. wapo about 1m tu. ilifaa iwe wilaya tu.
Hapo kwenye red rekebisha. wale jamaa ni sawa na idadi ya wananchi wa mbagala tu. wapo about 1m tu. ilifaa iwe wilaya tu.
hata sielewi sasa.. Matokeo ya Maisha Magumu kwa Umma wa watanzania utazaa Mengi.. Nadhani Rais wa Awamu hii atajuuuta kwelikweli kukalia likiti libovu.. Mara Leo Tunaskia watu kwenye Nyumba ya Ibaada ya Mwenyezi Mungu wanakula halua na Kushangilia Hamad Kutimuliwa chamani, Mara wanafunzi wa shule badala ya kugomea ubovu wa elimu, vitabu au maabara wao wanagombezana na uongozi wa shule wakidai kujengewa msikiti??!! ah.. Jamani aibu hii mnadhani tunaiweka wapi wengine sisi.. Leo tena kuna wananchi wenzetu wanalalamikia sijui kufutwa au kung'olewa kwa kisiwa chao.. aisee mambo ya ajabu mwaka huu.
Yale ya Msingi yanayohusu ustawi wa maisha, Uchumi na Ujenzi wa Siasa yenye mtazamo wa miaka hii yanawekwa kando na watu tunafukizia maskhara.. Inshalah!!
Mie mwenzenu Mambo haya ya Ubaguzi na Udini yananikera kwelikweli .. Hakuna Mzanzibari wala Mzanzibara, Mtanganyika wala Mdanganyika. Mpare au mgogo. Nafikiri sisi sote ni watanzania.. Dhana ya mawazo haya ya Kibaguzi inatokana na Ugumu wa maisha na jamii kukosa mwelekeo kutokana na walee tuliowaaminisha kutuongoza ambao wameshatugeuka.. Mbona miaka kede kede aliyotawala Mwalimu hakukuwa na harufu hii ya Ubaguzi, miaka ya mwinyi na Mkapa, mambo ya Ubaguzi na Udini hayakujitokeza asilani. Iweje awamu hii, awamu hii kuna nini. ?? why!!
....."Kiongozi yoyote anayeshinda kwenye Facebook akiangalia VIBINT na kutumia muda wake mwingi akichati na VIJIDADA kwenye cm, na Vikimkolezea huviundia safari za Nje ya Nchi na kwenda "Kuvitengeneza" HUKO.. saa ngapi atajali TAIFA..."Nshawakilisha hivyo..
tanganyika nayo mmeiua ili muifanye mnavotaka znz bt muda unazungumza .tanganyika yenu inarudi soon mungu atupe uzima
Halafu ZESCO ilipe deni la 6tl linazodaiwa na TANESCO. Hawa watu wa hii mikoa miwili wanatusumbua kwa kuwa tumewalea sana, wanaongea as if kuna kitu tunanufaika saaaaana kuwa nao. Na nyie wapemba mliojazana buguruni, kariakoo na ilala anzeni taratibu