mpemba mbishi
JF-Expert Member
- Nov 27, 2011
- 1,132
- 185
Sasa wanapinga nini wakati nyaraka zimewasilishwa UN? Halafu NIJUAVYO MIMI, kwa mujibu wa International Law, Bahari Kuu (High Seas) ni eneo lisilomilikiwa na nchi yoyote, ndio maana Tanzania inaliomba, sasa hapa Zanzibar imepokonywaje madaraka ya eneo isilomiliki?
Hapo kwenye capital latters ndio penye tatizo!