Baadhi ya Wazanzibari wapinga Tanzania kudai eneo zaidi la mpaka wa bahari kuu

Natamani na sisi huku bara tungeandamana kuwaunga mkono wapewe ki nchi chao. tubaki kwa mbali tukiwawtch - tuuone huo umoja wao na wanavyopendana.
Nimejua ni kwa nini Baba wa Taifa alisema angekuwa na uwezo angevisukumia mbali vile visiwa. Maana by nature wale jamaa ndivyo walivyo.
 
Zenji sio nchi? Tanganyika imeungana na nani
Tatizo lako ww msahaulifu, unaikukumbuka ile kesi ya uhaini ya akina DUNI hapo Zenj, Jaji alisema nini? mbona hukupinga wakati ule au sasa baada ya ndoa ya vyama umesahau. Halafu bila haya wala soni unanitukana kinafadhaisha tutawavumilia mpaka lini? Jielimishe na uondoke kwenye chupa humo ulimojifungia. ZANZIBAR SIO NCHI kama ni nchi nioneshe passport yako ya kusafiria. ACHA Ubishi realznzrian ZENJ sio nchi. and acha kutukana watu, tuna heshima zetu unatufulia hali hewa. ZANZIBAR SIO NCHI
 
Hawa jamaa wanakera!!
2unganishe nchi iwe 1 wakome ku2zingua.

Wanakeraaaaaaaaaaaaaa!!!!
 
Usitumie UDINI kwa nafasi yako Serekali na kisiasa Kukandamiza Waislam utaliangamiza taifa -MS

ila udini huo ukitumika kukandamiza wagalatia ni poa tu. umeona eh?
 
Kumbe ni post ya mtu mmoja tu?/

Hivi leo na mie nikasema "haya shime wa bara, tukutane kesho maofisini tukiwa tumevaa nguo nyeupe kuonyesha kuchukia muungano, itakua tayari kwamba ndio nchi mzima imeongea?

kwani zenj wapo wangapi? Nasikia wapo watu alfu makumi mia. Si sawa na gongo la mboto tu?
 
Tatizo lako ww msahaulifu, unaikukumbuka ile kesi ya uhaini ya akina DUNI hapo Zenj, Jaji alisema nini? mbona hukupinga wakati ule au sasa baada ya ndoa ya vyama umesahau. Halafu bila haya wala soni unanitukana KIZAZI CHA NYOKA kinafadhaisha tutawavumilia mpaka lini? Jielimishe na uondoke kwenye chupa humo ulimojifungia. ZANZIBAR SIO NCHI kama ni nchi nioneshe passport yako ya kusafiria. ACHA Ubishi realznzrian ZENJ sio nchi. and acha kutukana watu, tuna heshima zetu unatufulia hali hewa. ZANZIBAR SIO NCHI

Ni mtazamo wako
 
Mwanzisha thread na wewe ni mchochezi. Ninachojua mimi ukisema Zanzibar inapinga basi unamaanisha SMZ. Nimesoma kumbe ni Jussa ndiye aliyepinga na wewe unasema Zanzibar wamepinga. Kesho Jussa akisema anaunga mkono Boko Haram utasema Zanzibar inaunga mkono Boko? Tuandike kwa ufasaha.....MODs vipi?
 
Mi nlijua ukishasema Tanzania, basi Zanzibar iko ndani?! kwamba kuna Tanzania Bara na Tanzania Visiwani! Kusema Zanzibar lazima uiseme Tanganyika kwas ababu hizi ndizo ziliungana! Na kwa maana hiyo Tanzania kuomba eneo ni kwa manufaa ya wote nikimaanisha JMT! kumbe Baraza la wawakilishi lilishaamua menginei!?
Mi nadhani muungano uko mahali pagumu sana! Na ni kama unalazimishwa kuendelea, yaani kila mmoja anajitahidi kulazimisha usije kufia katika kipindi chake.
 
Naona Jussa atakuwa amewaandalia vilaza wenzake mapipa ya urojo, patakuwa hapatoshi.......
 
why always Zenj? Watu 2m wanasumbua 40m? Rais kakaa kimya tu! Baraza la mawaziri kimya! Wabunge wa CCM kimya! Wanaharakati kimya! Wanasheria kimya! HIVI Watanganyika tumerogwa?
 
Mwanzisha thread na wewe ni mchochezi. Ninachojua mimi ukisema Zanzibar inapinga basi unamaanisha SMZ. Nimesoma kumbe ni Jussa ndiye aliyepinga na wewe unasema Zanzibar wamepinga. Kesho Jussa akisema anaunga mkono Boko Haram utasema Zanzibar inaunga mkono Boko? Tuandike kwa ufasaha.....MODs vipi?

Ukisikiliza kwa makini hiyo clip ni kama kuna mkubaliano ya Baraza la Wawakilishi ambayo serikali ya muungano imeyakiuka! so sio suala la Jusa pekee, yeye ni msemaji tu! suala ni; nani kamtuma? je ni yeye mwenyewe ama kuna nguvu kubwa nyuma yake? na ni kwa manufaa ya nani?! wanasiasa au wazanzibari kwa ujumla?

 
SAsaa Zanzibar wanataka tukose wote.....ndio maana itakuwa vigumu kuwakubali tena huku bara inaonekana hawana nia njema
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom