Baadhi ya Wazanzibari wapinga Tanzania kudai eneo zaidi la mpaka wa bahari kuu

Hivi wakuu zangu kilichoombwa sii kilimeta zaidi za BAHARI ndani ya nbahari hindi kuwa sehemu ya Tanzania?.. Sasa kinachowashtua Wazanzibar kipi haswa ikiwa kila siku kuna wavuvi kutoka Spain na Italia huingia ktk maeleo yetu..Hivi Tanzania inapoomba kuongeza oeeneo lake haihusiani na Zanzibar..Je ongezeko hilo haliwanuufaishi zaidi Zanzibar kwa sababu ndiyo iliyoko baharini au mimi nachanganya mambo maana nakumbuka vizuri sivyo kama wanavyo fikria kina Jussa..
 
Back
Top Bottom