Baadhi ya wanaume hawajui kutongozaa

Yaan mtu anakufata eti siku hiyo hiyo anataka muoane!!!!!!chefuuuuuuuuu
Ukimwona mwanaume wa hivyo ujue hata mapenzi hajuiiiiiiii
Yaan baadhi ya wanaume acheni ulimbukeniiii
Dada nataka nikuie mie
 
Wadada pia hawajui kutongozwa, mtu ukianzia mbali wanajitia kuweka nguumu! Mtu anakwambia 'sitaki unisumbue kwanz usinipigie cm' wakat huo huo cm yako ikikata hela anakupandia tena kwamba ooh'uelewe tu sihitaj mpenz kwass niko bze' mambo gan ss hayo!!
 
06f77fd86b5413ab57d44b060a969dec.jpg
Huyu mpemba alikuwa anamtongoza mke wangu fb. Kahitahidi kujieleza kiasi flani.
 
Unajua kweli kuna wanaume hajui kutongoz kwel siyo utani hiv inamaa kwel mwanaume na ndev zake ajui kutongoza Inabid tuanze kutafuta mtaalam wa kufundisha kutongoza
 
Hiv hii mada ya mwanaume hajui kutongoza ni kweli au inabid huku huku ndan tuanze kufundishan kutongoza ukweli nakina dd mlioko huku mtu.vumilie
 
ukiwaliliana na demu kama sio bikira ikifika gharama ya 3000 kabla hujaomba mzigo futa namba ikifika 10,000/= hujapewa mzigo futa namba
 
  • Thanks
Reactions: MC7
Yaan mtu anakufata eti siku hiyo hiyo anataka muoane!!!!!!chefuuuuuuuuu
Ukimwona mwanaume wa hivyo ujue hata mapenzi hajuiiiiiiii
Yaan baadhi ya wanaume acheni ulimbukeniiii
Hakuna wanaume wa hivyo, labta huko Dar aiseeee.....
Hukukwetu naona hizo tabia za kuzoza hivyo wanafanya wavulana tu.
Na naona na hizi sim za kufuta (smart phones)ndio zimeharibu wavulana kabisaaaa
 
Yaan mtu anakufata eti siku hiyo hiyo anataka muoane!!!!!!chefuuuuuuuuu
Ukimwona mwanaume wa hivyo ujue hata mapenzi hajuiiiiiiii
Yaan baadhi ya wanaume acheni ulimbukeniiii
Unataka utoe baada ya muda gani tangu utongozwe?
Kwani cheki au maombi ya malipo mpaka wengine watoe saini?
Nawale mpaka wapigwe ngwale itakuaje ukileta mazoea na kusogeza muda,,,Sema wewe hukuamuA kumpaaa,,,anyway it's all about feeling
 
Yaan mtu anakufata eti siku hiyo hiyo anataka muoane!!!!!!chefuuuuuuuuu
Ukimwona mwanaume wa hivyo ujue hata mapenzi hajuiiiiiiii
Yaan baadhi ya wanaume acheni ulimbukeniiii
HV kutongoza kuna formula?
Kama ww hujapenda hzo approach kuna wenzio they fall inluv with
 
Yaan mtu anakufata eti siku hiyo hiyo anataka muoane!!!!!!chefuuuuuuuuu
Ukimwona mwanaume wa hivyo ujue hata mapenzi hajuiiiiiiii
Yaan baadhi ya wanaume acheni ulimbukeniiii
WA HIVYO UJUE KAZOEA KUNUNUA ... MANUNUZI HAYAHITAJI KUBEMBELEZA ... NA UKIFANYIWA HIVYO JITATHMINI MWONEKANO WAKO LABDA ANAKUONA KAMA CHAKE FULANI
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom