opportunist2012
Member
- Feb 8, 2012
- 92
- 8
Kuna baadhi ya walimu shule ya sekondari Kahororo iliyopo Bukoba-Bukoba wamekuwa wakidhalilisha taaluma zao kwa kujikombakomba kwa Afisa Elimu kwa kuvujisha siri za shule na mienendo ya walimu kwa DEO na Mkurugenzi.Lengo lao kuu ni kupata upendeleo kutoka kwa DEO na Mkurugenzi.Tunawaonya wakiendelea na tabia hii tutawalipua hadharani.