Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 50,468
- 113,583
- Thread starter
- #21
Mkuu Lunyungu, kule mimi nilisema, "it was a mistake", sikusema "stupid mistake". Kama unaamini niko nao, endelea kuamini, tatizo letu humu, ni wengi kuisifu Chadema, hivyo kila anaye critisize Chadema basi au katumwa au ndio wale wele!.Pasco wewe si uko nao wale ma stupid kwa kuonyesha Chadema were stupid kutoka nje leo hao unaowapa majina haya ni wa KAFU au CCM au bado wafa na Chaadema ?
Mbona ninapozungumza mazuri ya Chadema hamsemi?. Leo kwenye kipindi, Chadema imepongezwa na nimesema humu, bado tuu?.