Baadhi ya viongozi wa chama tawala wanasema wanapinga ufisadi (Tundu Lisu)

Shine

JF-Expert Member
Feb 5, 2011
11,481
1,364
Baadhi ya viongozi wa chama tawala wanasema wanapinga ufisadi na wanataka Watanzani wawe na maisha bora kwa kutumia rasilimali za nchi.

Wanataka tuwaamini lakini tuzidi kujiuliza kila siku, tunajifunza nini toka kwa mtu au watu ambao kwa mara mbili wamempitisha kushika wadhifa mkubwa kabisa mtu aliyeshindwa kabisa kulikwamua Taifa toka katika matatizo ya kila namna?

Sijui kuhusu ninyi ila mimi siamini kwamba mtu au watu kutoka kundi la aina hii wanastahili tena kukabidhiwa nchi yetu kuisimamia na kuzilinda rasilimali zake kwa manufaa ya kila Mtanzania.


Amesema kwenyea wallpaper yake ya Facebook
 
Jini likujualo halikuli lika kwisha. Hadi wapatikane wanaofaa. Woote walikuwepo hivi sasa wanasubiri kukaa mkao wa mlo. Wachache sana wenye uzalendo. Nadhani wewe unafaa.
 
Tundu atueleze ana maoni gani juu ya ufisadi unafanywa na viongozi wa CHADEMA
 
Back
Top Bottom