Baadhi ya Maneno ya Kiapo cha Wabunge

Kishongo

JF-Expert Member
May 4, 2010
932
64
Inafurahisha kuona jinsi wabunge wote wakiwemo wa upinzani wanavyoapa mbele ya Spika wao Anna Makinda.

Miongoni mwa maneno ya kufurahisha katika kiapo chao ni:

'Nitaihifadhi, Nitailinda na Kuitetea Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania'.

Waheshimiwa Zito, Mbowe na Tundu Lisu walitamka kwa ufasaha sana maneno haya.
 
Kwani vipi? Kuna la ajabu?
 
KAtiba ijayo in mind.
 
Mkuu tatizo ni nini sasa hapo? Nimejaribu kutafuta lililola ajabu katika uzi wako sijaona! Ulilenga kutujulisha nini zaidi mtaalam?
 
Inafurahisha kuona jinsi wabunge wote wakiwemo wa upinzani wanavyoapa mbele ya Spika wao Anna Makinda.

Miongoni mwa maneno ya kufurahisha katika kiapo chao ni:

'Nitaihifadhi, Nitailinda na Kuitetea Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania'.

Waheshimiwa Zito, Mbowe na Tundu Lisu walitamka kwa ufasaha sana maneno haya.

Kwani vipi? Kuna la ajabu?
MATATIZO... hivi siku zote tukijadili hapa hamjui tatizo nini???:smile-big: TATIZO NI KATIBA MBOVU. Na viongozi WABOVU huapa kwa KATIBA MBOVU. kila siku nawaambia NUNUENI MIWANI, ILI MPATE KUONA. la sivyo mtakuwa MNAWINDA MSICHOKIFAHAMU, Hivi ninyi wana wa kizazi hiki MTAFUKUZA UPEPO HATA LINI???
 
inafurahisha kuona jinsi wabunge wote wakiwemo wa upinzani wanavyoapa mbele ya spika wao anna makinda.

Miongoni mwa maneno ya kufurahisha katika kiapo chao ni:

'nitaihifadhi, nitailinda na kuitetea katiba ya jamhuri ya muungano wa tanzania'.

Waheshimiwa zito, mbowe na tundu lisu walitamka kwa ufasaha sana maneno haya.

colonial constitutions
 
Inafurahisha kuona jinsi wabunge wote wakiwemo wa upinzani wanavyoapa mbele ya Spika wao Anna Makinda.

Miongoni mwa maneno ya kufurahisha katika kiapo chao ni:

'Nitaihifadhi, Nitailinda na Kuitetea Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania'.

Waheshimiwa Zito, Mbowe na Tundu Lisu walitamka kwa ufasaha sana maneno haya.

Acha upumba..u hiyo ni entry point. hata ukiwa wewe umeteuliwa kuwa Executive Director wa kampuni fulani ambayo haiperform lazima utaingia kwa kufuata taratibu zao zilizopo then ndo uanze kuwawashia moto!
 
Inafurahisha kuona jinsi wabunge wote wakiwemo wa upinzani wanavyoapa mbele ya Spika wao Anna Makinda.

Miongoni mwa maneno ya kufurahisha katika kiapo chao ni:

'Nitaihifadhi, Nitailinda na Kuitetea Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania'.

Waheshimiwa Zito, Mbowe na Tundu Lisu walitamka kwa ufasaha sana maneno haya.

Nini cha ajabu sasa?. Kuhifadhi kulinda na kutetea katiba ni maneno ya kawaida kabisa. Mbona wengine waliapa hivyo hivyo na leo hii wamekumbatia mafisadi na rushwa kinyume na katiba?. Katiba iliyopo ni lazima iheshimiwa kama ambavyo itakavyokuwa kwa katiba mpya itakayopiganiwa na wapinzani wa kweli wenye lengo la kuipeleka mbele Tanzania
 
Lakini mbona huwa wengine wanaivunja katiba na hawachukuliwi hatua?
Tuna sheria na viapo vizuri lakini havina meno!
Hopeless oath.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom