FD,
Acha bwana, acha, acha kabisa. Wewe huitaji kujirudisha chini kiasi hicho. Of course ninajuwa unamtupie Mkandara vijembe hapa. Usikate tamaa wacha tuendelee kulalamika pengine tutafanikiwa siku moja pamoja na ugumu alioueleza kwa kina Mlalahoi. Nami pia ninauona ugumu huo. Lakini huyu waziri naye mbona alikuja na nguvu za soda akatutia matumaini sasa mbona naye ameingia mitini. Au na yeye anaogopa kutajiwa yake. Inavyoonekana ni kuwa kila mmoja anazinduka kujuwa kuwa yumo mwenye nyumba ya vioo kwa hivyo hastahili kuwatupia wengine mawe. Nadhani hili ndilo linalotukwamisha. Tungetegemea vyuo vyetu vya serkali viwe msimamo wa mbele kutetea hadhi ya elimu kwa hivyo Cs na VCs wao wangwekwa kwenye jopo la kutathmini shahada lakini ----- lo, lo, lo utamuweka Warioba humo utegemee ajiumbuwe kuwa PhD za PWU ni feki -- mama yangu weeee, ngumu hii.
By the way, si mmeona ya Magufuli, yeye anaongelea viwanja, wajameni wanafukuta na mauzo ya nyumba kwa nduguye Musa. Eh Walume, uraisi wa Tanzania NI KASI (kajob) BABANGU!

fikiraduni said:Mlalahoi,
Na mimi nimetuma hela jana, baada ya wiki kama nne nitakuwa Dr.!
Kwasababu serikali yetu imeruhusu, basi na mimi nimeingia humo.
Tena naomba muache kutujadili, nikishaupata u dr basi narudi bongo, ajira serikalini. Upo hapo?
FD
If you cant beat them join them!