Baadhi ya kina dada wawapo faraga,Tabia hizi za nini?

Aku babu tuliofundwa kwanza tukipitiwa na maboyfriend wetu tunatoka na dera tu ndani hakuna kitu na kama nikifika guest hous au kwake dera nalitoa naliweka kwa msumari kabisa sitaki usumbufu mie.hii ni kwa sisi tu tunaejua kupeana raha. Na hata siku moja sikuona mtu akikimbia, ni kama tu wazungu utaona kabaki na chupi na siidiria anaanza kumchezea mziki mpenzi wake huku anatoa mojamoja sasa sie sio wazungu tunaenda kibongobongo tu. Labda uwe bikira unaruhusiwa kuringa kihivi
 
ehh bado mnajadili ..toka ukooo...toa mkono wako...usinishike...zma taa nataka nivuve nguo...geukia uko nataka nivae...hahahah rrrrahah kweli kweli na BADO...:laugh::laugh:
Bwana mi ntaacha,kama hutaki kuzima taa naondoka alafu yule demu nilikuona nae jana naniyako?bc ngoja niwah nikapike bwana sitaki unaniumizaaa mala jino,kucha ndo ucseme sasa hayo mambo gani.
 
Aku babu tuliofundwa kwanza tukipitiwa na maboyfriend wetu tunatoka na dera tu ndani hakuna kitu na kama nikifika guest hous au kwake dera nalitoa naliweka kwa msumari kabisa sitaki usumbufu mie.hii ni kwa sisi tu tunaejua kupeana raha. Na hata siku moja sikuona mtu akikimbia, ni kama tu wazungu utaona kabaki na chupi na siidiria anaanza kumchezea mziki mpenzi wake huku anatoa mojamoja sasa sie sio wazungu tunaenda kibongobongo tu. Labda uwe bikira unaruhusiwa kuringa kihivi
Safi sana umejibu kwa ufasaha unafaa kuwa mwl wa mahusiano.
 
HATA MIMI AKA KATABIA HUWA KANANIBOA ILE MBAYA,NLISHAWAACHA WAWILI KWA UPUUZ HUU,KWANZA HATA HAMU YA KU DO NAE HUWA INANIISHA,,,WALE AMBAO NI MARA YA KWANZA ITS OK,LAKIN UNAKUTA MCHUCHU KASHAKUBUHU NA MIBA KIBAO KASHASHUSHA SASA AIBU YA NINI,JIREKEBISHENI BANAAAAA KUNA MAPOZ YA CHUMBANI LAKIN SIO HAYO,OVYOOOOO:clap2:
Saluut afande pyu pyu pyu
 
Back
Top Bottom