Baadhi ya kina dada wawapo faraga,Tabia hizi za nini?

labda wako mbna mi hua afanyi ivo,mana mda nilionao ni kukutana nae mchana hadi kumi na mbili jioni,na hua hajifich wala kusumbua,mana kila m2 Ana GET BUSY. Raha kuelekezana co kusumbua au kujifanya kila sehmu anayoguswa anajifanya anakidonda!
Mwanakili90 wambie bwana tena hao ndo wezi kujfanya wanaumia ingia sasa kma unaingza mkono kwenye mfuko wa suruali ya kitambaa.
 
bora mfuko wa suruali hauna maji, nyie acheni, nje sista duu kitandani gogo af maji yakutosha then anasumbua balaa!!
 
Mh, nimepita tu kuangalia nani kapost hii mpya, kumbe kokudo. Kwa heri ooh nimesahau ni tendo la ngono sio la ndoa. Gest hakuna tendo landoa.
 
Haya bana kama umenisusa, maana naona hata kujibu kazi . . . . mmmh
 
haya kwenye aibu mwasema ndio staha na swaga za kike hizo, na kwenye kutoana mikono wakati mtu akiwa anavinjari mwili je ??? Hapo justification ni ipi ya kuhalalisha kubaniana kwa style hiyo??
 
Mi naziba mdomo kabisa wambie wewe.
 
Mapenzi au kupendana ni ha2a kubwa sana kwenye mahusiano,sasa tabia ya kina dada kujifichaficha muwapo faraga nini maana yake?eti ukitaka kumshika sehemu anakutoa mkono,ukimgeuza huku utackia ooh mi cjazoea,je ni aibu au ndo ushamba?alafu akitaka kuvua au kuvaa nguo utamuona kachukua taulo au kanga kajifunika mabegani ili avae je mpaka unamkubalia mtu mnakwenda g house ina maana umemkabidhi heshima yako sasa iweje unakua huna uhuru?je nini hicho unachokificha kiconekane?au una makovu?au ulishawah ugua ugonjwa wa ngozi?wengne utawasikia zima taa kwanza jamani giza la nini wakati 2kiwa uwanjani ni vyema 2kawa 2naona?Jamani swala la tendo la ndoa ni swala lenye u2livu wa khali ya juu sasa unaposhikwa then unamtoa mwenzio mkono cjui unamaanisha nini?Kuwa huru coz umemkubal mwenyewe.

mapoz muhimu babuweeeeeeeeeee...we ulitaka mkiingia tu ndan bas aanze kutundika nguo zake kwenye msumar asi ungemshangaa...
ni swaga tu izo wala usinune...akikuzoea ataacha..mwanzon mwanzon kudengua /stak nataka weng wanapenda kufanya ivo...:laugh:
 
Kukaa uchi na mwanamke/mwanamme ambaye hamna "muunganiko wa kisheria" ni kosa kubwa sana - Na mara zote hiyo tabia ya "sitaki-nataka" inakuwa ni dhamira inakusuta na kukumbusha kuwa "what you are about to do is wrong"!
 
hata mimi aka katabia huwa kananiboa,nlishawaacha awili kwa upuuz huu huu,kwanza vinakata stimu,aaarhgxx^:sick:
 
HATA MIMI AKA KATABIA HUWA KANANIBOA ILE MBAYA,NLISHAWAACHA WAWILI KWA UPUUZ HUU,KWANZA HATA HAMU YA KU DO NAE HUWA INANIISHA,,,WALE AMBAO NI MARA YA KWANZA ITS OK,LAKIN UNAKUTA MCHUCHU KASHAKUBUHU NA MIBA KIBAO KASHASHUSHA SASA AIBU YA NINI,JIREKEBISHENI BANAAAAA KUNA MAPOZ YA CHUMBANI LAKIN SIO HAYO,OVYOOOOO:clap2:
 
ehh bado mnajadili ..toka ukooo...toa mkono wako...usinishike...zma taa nataka nivuve nguo...geukia uko nataka nivae...hahahah rrrrahah kweli kweli na BADO...:laugh::laugh:
 
mimi kila mwanamke kakiona aibu aibu ndio kananipandisha mzuka lakini mheshimiwa kokudo inaonekana ni mstaafu wa jeshini anataka yeye na mdada watumbuliane mijicho kama wabunge wa uganda. khaa

Tehetehetehe! klorokwini Wabunge wa Uganda ndio huwa wanatumbuliana mimacho!
 
mapoz muhimu babuweeeeeeeeeee...we ulitaka mkiingia tu ndan bas aanze kutundika nguo zake kwenye msumar asi ungemshangaa...
ni swaga tu izo wala usinune...akikuzoea ataacha..mwanzon mwanzon kudengua /stak nataka weng wanapenda kufanya ivo...:laugh:

aaaahhhh......:thinking:
 
ehh bado mnajadili ..toka ukooo...toa mkono wako...usinishike...zma taa nataka nivuve nguo...geukia uko nataka nivae...hahahah rrrrahah kweli kweli na BADO...:laugh::laugh:

Lakini mimi nadhani ndio raha yenyewe kubembelezea kidogo... sasa mkuu anataka akifika tu, demu ashavua nguo na kuianika ili ashughulike..... raha iko wapi sasa!!
 
Kuna m2 ali2chekesha ofcn eti alienda na demu guest, kufika 2 yule dada akaanza kusalula nguo zote akaenda kuoga kisha akajilaza kitandani chaliiiiìiiiiiiiiiiiii yule kaka akamwambia ngoja nikaoge badala ya kuingia mlango wa bafuni akatoka na wa kutokea huyo akaishia zake akaona mh! Huyu ctamuweza shughuli itakua ngumu. Naona wa hv ndio kokudo anamtaka lol

Uwiiii!
 
Back
Top Bottom