Baada ya ziara wizarani, jk ana ubavu wa kufika sokoni kariakoo kwa style ya 2006?

POMPO

JF-Expert Member
Mar 12, 2011
6,690
2,400
Wakuu! Kama mtakumbuka JK enzi za boyzll men 2006, alipomaliza tu ziara wizarani, alifanya ziara ya ghafla pole sokoni kariakoo na kujikuta akishangiliwa sana. Akiwa na kauli mbiu mbili: "maisha bora kwa kila mtanzania" na "ajira kwa vijana inawezekana" na kuweka rekodi ya rais wa kwanza kufika pale, jana aliagiza bei ya nafaka mahidi ishuke akiwa wizarani why not at the market place like kariakoo? najiuliza kwa hali ilivyo sasa je ataweza kufika pale!?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom