Baada ya Zanzibar Bukoba

Kuna Utofauti kati ya Zanzibar na Bukoba; Jamani tujaribu kuondoa Ignorance zetu na kutofautisha Agenda

Zanzibar Inataka Kujitenga na Muungano na Inatumia Suala la Dini kama nguzo kuu ya kujiondoa kwenye Muungano

Bukoba Wao ni kawaida yao hata Ukikutana nao Dar, Nairobi, US, UK au Bukoba wako hivyo ni kasuba yao ya kuishi maisha ya kiubaguzi na kujisikia hata Lugha Yao ina Haya-English; Sio kuwa wanataka kujitenga ni Tabia yao kupenda Matoke na Senene lakini kasumba yao ni ya kujisikia haswa Wanajiona wako karibu na Waingereza; Yaani ni Sawasawa na Wakikuyu wa Kenya... Ukiwa na Wakikuyu ni hivyo hivyo na nadhani ni zaidi Sababu wao muda wote wanautumia kwenye GOLF SPORTS CLUB utadhani waingereza. kwahiyo kwa Wa Bukoba ni Kasuba - Acha Wafurahie hiyo Kasuba Tanzania is a FREE COUNTRY; Mbona wako Mikoa Mingine wanafanya kazi?
 
Watu mpo fast kushambulia. Mbona msiangalie UCC ?Wahaya wameifanya taasis yao. Ubaguzi upo ila cha kujiuliza ni sehemu ngapi nyingine zinahizo tabia na kufanya juhudi za kuzidhoofisha hizo tabia, au hata kuzibadili zifanye kazi kwa njia njema..Mfano Badala ya kuona kuwa "wakuja hastahili kitu", wajiulize ni namna gani wakuja atakuwa na faida ktk jamii yao.

Ingawa Bukoba hakuna mvuto kihivyo..ndio maana hata waza wengie huwa hawarudi sana.
 
Back
Top Bottom