Baada ya Zanzibar Bukoba

Mwaka 2006 kama siyo 2007 Kikwete akiwa ameambatana na waziri wa viwanda na bishara wakati huo Nazir Karamagi, katika mkutano wake na watanzania waishio Oslo, Norway mama mmoja kutoka Bukoba alimuuliza Kikwete swali kuhusu uhaba wa madaktari huko Bukoba. Kikwete hakujibu swali lile akamsukumia mbunge wao Karamagi ajibu swali lile. Karamagi alijibu kwa kifupi tu kuwa "Tatizo letu wahaya tunawakataa madaktari wanaopangiwa kazi huko kwetu ambao siyo wahaya hivyo inawalazimu kuondoka". Kwa maana nyingine analiyoyasema mtoa hoja hapa yana ukweli ndani yake.
 
Oportunist2012 nadhani umetoroka wodi ya vichaa Milembe,thread yako inavutia lakini ujumbe wake pumba tupu.Unaposema Bukoba,na ukasema tusipoipa cdm madaraka tumekwisha,je mikoa ya Dodoma,Singida mbona magamba full na huko vp,acha mawazo ya kichaa km una ishu na Wahaya sema ila siyo longolongo

Nadhani nimekugusa nyinyi hata Nyerere aliwagundua maapema...ndo maana urais,umakamu wa urais na uwaziri mkuu mtasikia kwenye bomba maana hamfai kushika nyadhifa hiz za juu..mmejawa na ubinafsi,unafiki,ukabila na uozo wa ubaguzi...najua ujumbe umekuchoma..Jirekebisheni mmezidi na ulevi wa ubaguzi.
 
Wewe opportunist!! Kuwa na adabu! Narudia, kuwa na adabu!! Huwezi fikia hatua ya kulaani watu kisa eti wanatofautiana na wewe kimtizamo!! Nasema kuwa na adabu!!

Unajua maana ya neno 'wanyamaanga' wewe? Neno huwatambulisha watu wasio wahaya na halina uhusiano wowote na dharau ama kejeli ya aina yoyote kama unavotaka iwe!! Kukuthibitishia hilo mke wangu ni Mchaga na ni "Mnyamaanga" analijua hilo na hakuna kesi!! NA, hakuna neno mbadala wa neno hilo ktk lugha ya kihaya!!

Kama huwezi fanya kazi jifunze kazi maana ni kweli Bkb kuna vichwa, hawawezi kukuacha unajinyeanyea kazini eti kisa ukabila!! Mbona wapo akina Mwakipesile, Masha, Lemmy, Mwajuma na wanatinga vizuri!? Fanya kazi hacha majungu!!

Usijifiche nyuma ya CDM kuwashambulia Wahaya!! Mara ooh ccm mara CDM mara ZNZ mara ooh ukabila na udini mara ooh Uamsho!! Tuelewe lipi sasa!!?

CDM hatuna watu dizaini yako!! Kama huna hoja funga d.o.m.o lako!! Nenda Tanesco, idara ya maji, misitu, halimashauri, Kagondo Hosp, Ndolage Hosp,Government Hosp( bkb mjini) uangalie wamejaa akina nani kama sio wanyamaanga!! Funga b*a*k*u*l*i!!
 
Ninatilia shaka uwezo wako wa kufikiri...hivi nani hajui tabia za ubaguzi wa Wahaya...mnabaguana wenyewe kwa wenyewe.Mhaya wa Kiziba anambagua mhaya wa Karagwe,wa Karagwe anambagua wa Muleba na wa Muleba anambagua wa Maruku..,labda nikuulize swali hali hii ipo au haipo huko Kagera?
 
Nyinyi watu mbona hamtaki kubadilika?..najua kasumba ya ubaguzi ipo kwenye damu zenu lakini jirekebisheni..kwa nini hutaki kukubali ukweli kwamba nyinyi ni wabaguzi? wenyewe kwa wenyewe mnabaguana kimaeneo..mhaya wa Kiziba anambagua wa Karagwe,wa Karagwe anambagua wa Maruku,wa Maruku naye anambagua wa Muleba...hivi nyinyi ini mtaacha kasumba hii ya ukabila?...vichwa vingi haviko Bukoba...viko maeneo yenye tija...Bukoba kuna vilaza tu.Hata wasomi wenye asili ya mkoa wa Kagera wameukimbia wanasema kuna kila aina ya unafiki hata wewe unaeleta kiherehere haupo huko Bukoba....I tell you facts and not opinions...acha hizo...GAMBA MKUBWA WEWE!!
 
Najua kama wewe ni miongoni wa hawa jamaa wenye kansa ya ubaguzi,ubinafsi na ukabila...sindano inauma lakini ni tiba...kwani mkiacha kasumba zenu za ubaguzi itakuwaje?...acheni upuuzi wenu ....JIREKEBISHENI!!
 
ahsante kwa ufafanuzi wako,lkn ndugu zako wanatumia neno wanyamahanga vibaya.wanahusisha na kutokuwa mhaya yaan wakuja ambaye hana thaman bukoba.

The image you wanted to portlay is very wrong. I'm sure being a teacher you know the words Translation and Meaning. In relations to languages, the later might be subjective. By the former "Watu wa Mataifa"=PEOPLE OF NATIONS=FOREIGNERS=KYASAKA (chagga)=MNYAMAHANGA. If this chain of direct translation only makes a Haya word an insult then we should query our reasoning and understanding! Going by your conotion you insert at "Mnyamahanga" the most racist would be the Holy Bible referreing all other people beside Islael as "People of Nations" or "Wanyamahanga"
 
mimi mbona mhaya nikienda bukoba nikongea kihaya na kujifanya mjuaji naitwa mnyamahanga na bibi yangu?Na kuhusu mwanza,dar kuendelea mbona wahaya tumewekeza sana hiyo mikoa tajwa hahaha.wahaya sio wabaguzi labda wengine wako arrogant.sema tumesoma sana unamuona mama tibaijuka kichwa chake hadi kwa wakorea hawamuwezi!

Acheni hizo!!..badilikeni,MAISHA BILA YA UBAGUZI YANAWEZEKANA.
 
We jipange upya! Walimu wangapi wantenda hayo uloyasema Tanzania hii? N-way, najua huna data za kutosha, tuulizeni sisi nasi tulio nje ya nyumbani. Tabia ya mtu mmoja usiihamishie mkoa mzima na tena ukome kabisa! Unajua huko CDM (japo ni chama langu) kuna mtu, tena mbunge anahutubia watu akisema anataka Kaskazini iwe nchi, JE TUSEME CDM WOTE WALIKUWA HIVYO? Wizarani (karibia zote) unaposikia kila kukicha kwamba wako mabila flani flani, Polisi inaposemekana vyeo vyote ni vya kabila na dini flani, NSSF tulipoambiwa kuna ....... flani.

Hilo jina ulilolinyumbua, si la leo Bukoba, tangu zamani za mababu wasiojua kiswahili cha kujua kwa EBIGUNJU ndo wanaitwa wanyama, walilitumia kuongelea yeyote ambaye alionekana kutoka nje ya mkoa huo na hajui kuongea lugha yao.

Je, umefuatilia kuona makabila na mikoa mingine wanasemaje kuhusu wageni, au etc. (end of thinking capacity) yako imeishia BK?

CHADEMA ni chama chetu lakini tusiingie kwa hasira za kutaka kulipiza visasi katika mabaya yalotendwa na wengine, hapo tutashindwa. Bali tufikirie zaidi ni jinsi gani tutaweza kuivusha nchi kwenda kwenye TANZANIA TUITAKAYO:israel:
Naunga mkono hoja kwa 100%
 
Nyinyi watu mbona hamtaki kubadilika?..najua kasumba ya ubaguzi ipo kwenye damu zenu lakini jirekebisheni..kwa nini hutaki kukubali ukweli kwamba nyinyi ni wabaguzi? wenyewe kwa wenyewe mnabaguana kimaeneo..mhaya wa Kiziba anambagua wa Karagwe,wa Karagwe anambagua wa Maruku,wa Maruku naye anambagua wa Muleba...hivi nyinyi ini mtaacha kasumba hii ya ukabila?...vichwa vingi haviko Bukoba...viko maeneo yenye tija...Bukoba kuna vilaza tu.Hata wasomi wenye asili ya mkoa wa Kagera wameukimbia wanasema kuna kila aina ya unafiki hata wewe unaeleta kiherehere haupo huko Bukoba....I tell you facts and not opinions...acha hizo...GAMBA MKUBWA WEWE!!

Hivi kweli wewe ni mwalimu mbona uwezo wa wakufikiri ni kdogo,vilevile wewe ni muhongo.Mimi kwetu ni Bukoba,nimesomea Maruku Sekondari nikaenda Muleba baada ya hapo nikaaenda Kiziba,baada ya mizunguko yangu ya hapa na pale nikarudi home Bk kwasasa ninasafiri sana kila wilaya sijawahi kuona ubaguzi wa aina yoyote,kitu unachoita ubaguzi nikwamba kila eneo ulilotaja kihaya chao kinatofautiana ila wote tunapendana ndio maana ukiwa mikoa mingine uwezi kuona watu watofautiana.Jihadhari sana na uchochezi
 
All in all sisi wote ni vijana tunaopenda maendeo it doesn't matter ni muhaya au laa ! Kitu cha msingi ni sis wenyewe kubadilika kama kuna ubaguz ufe na wazee wetu . Let's us build Tz isiyo na Ubaguz M4C can lead us to that ! God bless Tz God bless CDM
 
Kuna kila sababu sisi ijana na Watanzania wote tukipe ridhaa CHADEMA kiunde serikali mwaka 2015. CCM ni chama muflisi kilichoshinda kuzuia ubaguzi wa aina zote.

Hata vurugu za ZNZ ni matokeo ya kuwa na serikali legelege yenye usalama wa Taifa wanaolinda viongozi na kuwaacha raia wakiharishiwa maisha yao na wahuni wachache.

Yaliyotokea ZNZ hata Bukoba yaweza tokea. Watanzania wasio wazawa wanabaguliwa kana kwamba wanyama.Wamepachikwa majina mbalimbali yanayodharirisha utu wao, mfano wanaitwa WANYAMA ANGA yaan wanafananishwa na ndege.Hali ipo hata ktk ajira.

Mfano halisi ni idara ya elimu sekondari ambapo afisa ana sera ya kuwapendelea walimu wazawa wa Bukoba na kuwabagua walimu wa mikoa mingine.

Imeshawahi kutokea mkuu wa shule wa Rutunga alimshitaki mwalimu mkorofi kwa afisa elimu,afisa elimu baada ya kujua yule mwalimu ni mhaya alimlaumu yule mkuu wa shule kwa nin amemshitaki huyu mwalimu.asema lazma tuwalinde vijana wetu angekuwa si mhaya tungemuadhibu, hii ndio serikali ya CCM yenye watendaji wabaguzi huku ikibariki ubaguzi huo.

TUSIPOIWEKA CDM MADARAKANI 2015 TUTAZIDI KUJUTA!!

Opportunist, umetoa tafsiri isiyo sahihi. Wahaya wanawaita wageni kutoka ng'ambo ya ziwa Victoria "abanya mahanga". Neno "mahanga" lina maana ya nchi ya mbali, ng'ambo hasa kuvuka ziwa Victoria. Mhaya akisafiri ng'ambo ya ziwa Victoria wanasema "agile omu mahanga"; ikiwa na maana "ameenda nje", "ameenda ng'ambo". Kwa hiyo, neno "banyamahanga" halina maana ya "ndege" kama unavyotaka wanaJF waamini. Aidha, inabidi ujue kuwa kila kabila lina namna ya kuwaita wageni wa kabila hilo; kwa mfano Wasukuma wanawaita "jogoli", Wapare wanawaita "wanyika", n.k.na hilo halina maana ya ubaguzi wa rangi. Ina maana ukimwita mzungu "foreigner" unakuwa unambagua?

Vile vile haipendezi tabia ya Mhaya mmoja lichukuliwe ni tabia ya Wahaya wote (stereotyping).
 
Mwaka 2006 kama siyo 2007 Kikwete akiwa ameambatana na waziri wa viwanda na bishara wakati huo Nazir Karamagi, katika mkutano wake na watanzania waishio Oslo, Norway mama mmoja kutoka Bukoba alimuuliza Kikwete swali kuhusu uhaba wa madaktari huko Bukoba. Kikwete hakujibu swali lile akamsukumia mbunge wao Karamagi ajibu swali lile. Karamagi alijibu kwa kifupi tu kuwa "Tatizo letu wahaya tunawakataa madaktari wanaopangiwa kazi huko kwetu ambao siyo wahaya hivyo inawalazimu kuondoka". Kwa maana nyingine analiyoyasema mtoa hoja hapa yana ukweli ndani yake.

Kwani Karamagi alikuwa ni mwakilishi wa Wahaya katika ziara hiyo?
 
Kwani Karamagi alikuwa ni mwakilishi wa Wahaya katika ziara hiyo?

Mkuu,
Karamagi hakuwa mwakilishi wa wahaya bali mbunge kutoka uhayani na ni mhaya na alijibu kuwa nyinyi wahaya mnawakataa madaktari wasio wahaya ndo chanzo cha upungufu wa madaktari huko uhayani.
 
Opportunist, umetoa tafsiri isiyo sahihi. Wahaya wanawaita wageni kutoka ng'ambo ya ziwa Victoria "abanya mahanga". Neno "mahanga" lina maana ya nchi ya mbali, ng'ambo hasa kuvuka ziwa Victoria. Mhaya akisafiri ng'ambo ya ziwa Victoria wanasema "agile omu mahanga"; ikiwa na maana "ameenda nje", "ameenda ng'ambo". Kwa hiyo, neno "banyamahanga" halina maana ya "ndege" kama unavyotaka wanaJF waamini. Aidha, inabidi ujue kuwa kila kabila lina namna ya kuwaita wageni wa kabila hilo; kwa mfano Wasukuma wanawaita "jogoli", Wapare wanawaita "wanyika", n.k.na hilo halina maana ya ubaguzi wa rangi. Ina maana ukimwita mzungu "foreigner" unakuwa unambagua?

Vile vile haipendezi tabia ya Mhaya mmoja lichukuliwe ni tabia ya Wahaya wote (stereotyping).

Sure,lakin si wahaya wote wako hivyo wengine ni watu wazuri sana,hata mimi nina rafik zangu wahaya lakin ni wazuri ila kwa kiasi kikubwa tabia za wahaya zina tatizo.
 
nashukuru kwa ufafanuzi mliotoa wa jf wote ila bado kuna tatizo kwa baadhi ya wahaya kuwa na mtazamo hasi kwa makabila mengine,na si wahaya pekee tatizo hili lipo ktk makabila mengine kwa kiasi kikubwa makabila hayo ni wachaga,wanyakyusa na wakaazi wa visiwa vya ZNZ wanaowakataa wa bara.Kwa pamoja tushirikiane tujenga Tanzania isiyofuata umaeneo,ukabila,udini,ujinsia,hali ya kipato,elimu nk.Tanzania bila ya ubaguzi inawezekana.
 
mleta mada naona umechemsha na thread yako haina mashiko, kufananisha matukio yanayotokea znz na mifano uliyoelezea bukoba ni vitu tofauti kabisa.sijawahi kusikia wenyeji wa bukoba(wahaya) wakipigania kujitenga ili wawe huru kutoka Tanzania ,khali inayojitokeza zanzibar.Ni kweli Tanzania bado kuna ineffiencies nyingi katika uendeshaji wa serikali na taasisi zake kama vile upendeleo unaohisiwa(b'se no official research) kutokana na ukabila lakini ni malalamiko yanayosikika nchi nzima na si bukoba peke yake hivyo kama great thinkers tunapaswa kufikiria mikakati ya kuikwamua nchi katika changamoto hiyo.
suala la kuwa na tofauti ndani ya kabila lolote ni la kawaida na la kihistoria na si ubaguzi . kwa mfano:1.uchagani kuna warombo,wakibosho,wamachame,wamarangu na wa- uru na wa kuja huitwa 'viasaka'.
Namshauri mleta mada kama ana ushahidi wa kutotendewa haki katika kazi malalamiko yake ayafikishe kwenye taasisi husika(competent authorities) ili yafanyiwe kazi ,badala ya kuja na baseless generalization na conclusion kuwa bukoba inataka kujitenga kama zanzibar

Tanzania kuna tatizo la u
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom