Baada ya Wikileaks-Mabalozi wetu wanafanya ujasusi gani?

andrewk

JF-Expert Member
Apr 13, 2010
3,102
488
Baada ya kujua wenzetu wamarekani wanafanya nini katika balozi zao, nianza kijiuliza sana na kungudua kuwa moja ya malengo yao ni kutawala dunia, nivyo inawalazimu washington kujua kila kinachotokea Tanzania, kenya UK,China ...n.k

Wakati wa Nyerere sera ya nje ilikuwa kuifanya Afrika iwe huru, kwa hiyo taarifa alizohitaji zaidi zilikuwa ni kujilinda na kuhakikisha nchi kama namibia,zimbabwe zinakuwa huru.

Mkapa alizanzisha sera mpya ya mambo ya nje, nayo ni Diplomasia ya kiuchumi, kwani ndio mtazamo mpya ili nchi iweze kujitegemea kwa mabo ya muhimu.

Je tunao watu katika balozi zetu wenye mtazamo huo, au tumewaacha wale wale na mtazamo wa zamani. Ni aina gani ya taarifa tuanziitaji toka nje? au ni sehemu ya kuwapunzishia wastaafu?
 
hawajui hata wajibu wao, kwanza nchi wanazopelekwa hata lugha za huko hawawezi kuzungumza hata kwa 5% unategemea watafanya nini? wanaoharibu humu ndani ndiyo wanapata bahati ya kuteuliwa kuwa mabalozi, unategemea nini? Didi you expected mtu kama Adadi Rajabu kuwa balozi?
 
wapi mapuri omari
 
Kwa busara za viongozi wetu wakuu hapahapa nchini, tunategemea wale wanaowapeleka huko nje ni watu wa namna gani? Vimwana, maswahiba, washikaji, binamu na mtoto wa flani, hapa kuna diplomasia kweli?
 
Back
Top Bottom