Baada ya ushindi wa kishindo kwa chadema arumeru,ccm na wapambe wake waufyata mkia

PISTO LERO

JF-Expert Member
Mar 8, 2011
2,819
1,454
Hi imejidhihirisha baada ya wapambe wa ccm pamoja na lowasa kishiwa mbwembwe,
zile kelele na mbwembwe za wapambe wa Lowasa kuwa lazima awe raisi zimeyeyuka ghafla,baada ya chadema kuwagaragaza kwa kishindo.Lowasa kaingiza mkia katikati ya miguu kama mbwa koko,hi ni baada ya Dogo Janja kumtimua mbio kule arumeru sasa kajichimbia dar es salam,na zile ziara za makanisani zimeyeyuka ghafla mithili ya barafu ndani ya jiko la gesi (CHADEMA). DR,SLAA wa ukweli alijaribu kumwanya lakini hakusikia, sasa kapata aibu isiyo na mfano tena ukweni.

Nae gorila aka chimpanzee aka vuvuzela la ccm karudi zake msituni baada ya kukosa ndizi na mchwa mjini.alijifanya mzee wa kupangua hoja,badala yake hoja zikampangua,sasa hana jipya anakula mchwa Gombe "N"park,

sasa ccm wanamtafuta mchawi wanataka kumfungulia Dogo Janja kesi kisa eti hana kibali cha kuchimba visima vya maji alivya anza kuvichimba huko mbuguni,

Na sasa baada ya siasa kuwashinda wameamia kuwa mahakimu na majaji.

kweli mnatapatapa na hamtapata
pakujishika.
 
Hata Mashostito wa Lowasa humu JF kina Rejao na Pasco chali, hata mistari miwili kuchangia uzi inawashinda, wamebaki kudandia-dandia tu, ajira zipo mashakani. Hawajachelewa, sisi tunakula CCM, tunapiga story CCM B, ila tunafanya sala na tunalala CHADEMA. Wao wanakula na kulala kwenye wallet za Magamba. Hawana issue tena, ni kama mitumba
 
Nimeipenda hii! Hivi Faiza Foxy yuko wapi siku hizi?
 
Sijakusoma hapo mkuu... Yani dogo janja hana kibali cha kuchimba visima?????
Ebu ongea kwa msisitizo hapo
 
Dogo janja ni noumer ,lowasa hajui atoke vipi kila kitu kimeparaganyika.POOR HIM
 
Hata Mashostito wa Lowasa humu JF kina Rejao na Pasco chali, hata mistari miwili kuchangia uzi inawashinda, wamebaki kudandia-dandia tu, ajira zipo mashakani. Hawajachelewa, sisi tunakula CCM, tunapiga story CCM B, ila tunafanya sala na tunalala CHADEMA. Wao wanakula na kulala kwenye wallet za Magamba. Hawana issue tena, ni kama mitumba

nime ipenda hi kaka.
 
Back
Top Bottom