Baada ya uamsho znz kuchoma makanisa sasa nao boko haramu nigeria wazidisha kasi ya kuchoma

BBC News - Three blasts hit churches in Nigeria Kaduna province

leo hii kikundi cha Boko haramu cha kiislam nchini nigeria kimelipua makanisa matatu.Je hawa ndugu zetu waislam wamechoka amani au vipi?Kanisa kukaa kimya ndio kuwapa nguvu na jeuri maana serikali hazichukui hatua yeyote.
Viongozi wetu wa kisiasa kuwa waislam ndio kutesa kanisa kiasi hiki?
CHA KUSHANGAZA VIKUNDI VYOTE VINAFANYA VURUGU SIKU YA JUMAPILI UAMSHO WALIFANYA VURUGU JPILI TEREHE 27 NA mpaka kanisa k/koo wakashindwa kufanya ibada HAO WAMESUBIRI JPILI WATU WAPO KANISANI WAKAFANYA VURUGU.ijumaa wanatulia wao waabudu lakini wenzao wakiwaona jpili wanaabudu wanaanza vurugu
 
cha kushangaza vikundi vyote vinafanya vurugu siku ya jumapili uamsho walifanya vurugu jpili terehe 27 na mpaka kanisa k/koo wakashindwa kufanya ibada hao wamesubiri jpili watu wapo kanisani wakafanya vurugu.ijumaa wanatulia wao waabudu lakini wenzao wakiwaona jpili wanaabudu wanaanza vurugu
tz kuna kanisa?
 
Watu wakidai haki zao mnsema vurugu, upuuzi mtupu!!!!!!!!!!

Hata Somalia, Afganistan, Nigeria etc ni hao hao waislamu wanadai haki zao wamepeleka nchi kwenye machafuko yasiyo na mwisho. Sasa upuuzi uko wapi?? Fikiri chukua hatua ya kizalendo sisi twaipenda sana TZ yetu pamoja na matatizo yatu yote.
 
tpmazembe unajua sikuelewi kabisa.nakuta post zako kama nne zinauliza,zinajijibu ahkh! Ilimradi ilimradi tu
 
Uamsho hawakuchoma makanisa, waliochoma makanisa ni wenyewe wenye makanisa kwa uchu wa michango.
 
Uamsho hawakuchoma makanisa, waliochoma makanisa ni wenyewe wenye makanisa kwa uchu wa michango.

unahitaji kupimwa akili ww wakristo hawategemei misaada toka kwa mjomba ili wajenge makanisa. ndiyo maana wana shule nyingi na kila aina ya taasisi kwa sababu wanajua kujitegemea.
wanaohitaji michango ni hawa ambao hawawezi hata kuhesabu waumini wao mpaka wasaidiwe na serikali
 
Wanategemea kutoka vatikan au sio?
 
Wanategemea kutoka vatikan au sio?
KUNA VITU VYA KUSAIDIWA LAKINI SIO KUHESABIWA WAUMINI,sensa huwa ngumu dar pekee,huko mikoani mmeshindwa kuwaambia mashehe wawatumia idadi ya waumini kila msikiti/mtaa alafu baadae mtachukua na idadi itakayotolewa na tume ya takwimu kujua asilimia yenu yaani hesabu ndogo hivyo mpaka maandamano.msitupumzikie sisi tunahitaji kufikiri maendeleo nyie mlaleta uduanzi
 
Mmeiua nchi halafu unajidai mnataka kuleta maendeleo? "Mtakatifu: kafanya nini kwa miaka 24 kwenye hii? zaidi ya kuiingiza kwenye lindi la umaskini. Baada ya miaka 24 kaiacha nchi ni maskini ya mwisho duniani.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom