Baada ya polisi kuzima maandamano ya waislamu "sporadic violence" is now imminent

Salary Slip

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
46,887
143,983
Viongozi wa nchii hii wanapaswa kutafuta suluhu ya matatizo haya yanayosababisha maandamano na machafuko kwa kutafuta kiini hasa cha tatizo hili vinginevyo amani ya nchi yetu itakuwa tumeiweka rehani.

Kama kuna watu wanatumika na mataifa ya nje kuvuruga amani ni bora hatua za kuwadhibiti zichukuliwe mapema vinginevyo nchi yetu itageuka iran,afghanistan,iraq na kwingineko.

Usalama wa taifa hapa ndio wanajukumu kubwa na kama hili litakuwa gumu basi tutarajie muendelezo wa matukio kama haya siku za usoni.

Sectarian violence could cause civil war if it goes unchecked.
 
Sidhani kama Bakhresa na Mo Dewji wanaweza kusika kiberiti na kuchoma kanisa

Mkuu sisi sote tupo ktk hali ngumu ya maisha na tunapigana nayo tunavyoweza!, sasa tunafikia ku lose hope! sasa akitokea mtu haswa tunae mu worship somehow akasema hivi mnajua kwa nini mnahangaika!? (as a scapegoat remark) then akaendelea na kusema mnahangaika kwa sababu mulizulumiwa na LoyalTzCitizen, na utajiri wake ule ulitokanana kuwaibia nyie ktk urithi wa mababu zenu!!!. Sasa hapo kunahitaji mambo mengi sana ya ku assess hayo madai na busara ya hali ya juu sana itahitajika kwa mlalamikaji ili aweze kuelewa haswa kinachoongelewa, lakini kama akikurupuka! mmmh itaishia huku :fencing:
 
They have been brainwashed by their beliefs. You cannot change them.
 
Suluhu ya vurugu hii ni kuiondoa ccm, ccm na Rais ni tatizo zaidi ya hizi vurugu, unapokuwaumeshindwa kuongoza ni lazima uongozwe na unaowaongoza, ccm imeishiwa haki na mbinu ya kuendelea kutawala, tutashuhudia zaidi ya haya kwani wahuni wamechukua nchi wamesema watafanya wanachotaka bila kufuata sheria na ndicho kinachofanyika na kitakachoendelea
 
Aliambiwa nchi haitatawalika akawa qnajichekesha tu ..kazi ndo imeanza sasa
 
Tuna viongozi wasiojua namna ya kuleta utengamano wa taifa letu.ngoja mataifa ya nje kama iran,oman na kwingineko yasambaratishe taifa letu. Tanzania itabaki historia. Maana tulikuwa tunajitapa mno eti nchi ya amani na utulivu, hivi mataifa mengine yalikuwa yanafurahia hali hiyo?
 
SULUHU NI KUWAUWA VIKOJOZI wanaokojolea vitabu vitakatifu....no more kuchokozana
 
Sijui tunaenda wapi nani atatuepusha na balaa maana vyombo vyote vya ulinzi ni mchanganyiko wa dini sasa wakiamua kila mmoja kulinda dini yake itakuwaje? Ee Mungu naanza kuona uchaguzi 2015 utakuwa na harufu ya udini
 
Sijui tunaenda wapi nani atatuepusha na balaa maana vyombo vyote vya ulinzi ni mchanganyiko wa dini sasa wakiamua kila mmoja kulinda dini yake itakuwaje? Ee Mungu naanza kuona uchaguzi 2015 utakuwa na harufu ya udini
Mkuu hilo swala kwamba kila askari ana dini yake ndio baya na hatari zaidi.Kumbuka huko Yemen,Libya,Misri na Syria wanajeshi na polisi walifiki hatua ya kuasi na kukataa kupokea amri za kuua ndugu zao.Hili jambo hata bongo linawezekana hasa linapokuja swala la imani za watu.

Serikali iwe makini jambo hili lisiwe la mara kwa mara vinginevyo tutashuhudia matukio ya kuuana na kujeruhiwa kwa kuviziana.
 
SULUHU NI KUWAUWA VIKOJOZI wanaokojolea vitabu vitakatifu....no more kuchokozana

Kitabu kitakatifu kwa aliyekikojolea au kwa aliyekileta kikojolewe? Ni sahihi kuchukua kitu unachoamini kuwa ni kitakatifu nyumbani kwenu ukampelekea mtu asiyeamini katika utakatifu wa hicho kitabu akikojolee? Mimi naona mngeanza na huyu aliyetoa nyumbani kwao kitabu kinachoitwa kikatatifu kikakojolewe.
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom