baada ya ngumi za pua ccm yakimbilia mawe

Kilichotokea kenya si lazima kitokee tz nani alikwambia tunataka kuiga kenya? Kenya ni kenya na tzt ni tz hatunahaja ya kuwaiga watu! Wewe kazi yako kuiga kama cmcm ni wataalami wa kukopy sera za nchi nyingine halafu hawawezi kizitekeleza. Hebu niambie ni sera gani mbovu katika serikali yetu? Lakini ni ipi imeweza kutekelezwa kwa votendo? Acha mawazo ya kudesa ndugu yangu tanznia ina watu wazuri lakini wamebanwa na mafisadi wasifanye chochote. Unataka kumlinganisha kibaki na Dr. Slaa? Wakenya ni majambazi tu hayana utu wowote huwezi kuwalinganisha na busara za watanzania. Tunamwamini dr slaa maana we feel what he talks to us. Je ulishawahi kuguswa na hotuba yoyote ya mkwere toka aingie urais? Kama ni ndiyo basi wewe ni zero kama jina lako

Katiba mpya inawabadilisha, haijalishi awe ni nani kwa katiba hii mya wamesalimu amri. Walioibia serikali enzi hizo yanawarudi. Wenye maekta ya aridhi matumbo moto. Walioiba mabenki na NGO'S wanamsubiri Lumumba awapeleke court. Mawaziri wanajiudhuru ovyo, shauri ya kashfa za ufisadi. Hapa kwetu mafisadi wanaendesha serikali. Katiba mpya tuu ndilo jibu letu. Tuidai kwa nguvu zote!!!!!!!!!!!
 
Alipoingia Kibaki madarakani mwaka 2002 wakenya walidhani Malaika ameshuka kutoka mbinguni. Miaka mitano baadaya 2007 yuleyule malaika alisababisha vifo vy zaid ya watu 1000. Ninyi mnaoshabikia cdm na Dr. Slaa mjifunze kwa majirani zenu. Better the devil you know than the angel you do not know

Gz

stop comparing Kibaki & Slaa in any case, i can read u r mind u think using makalio yako, THINK...!!! stop posting ur mental prostitution here
nothing u know, meaning hata RECORDS of Dr. Slaa hujui, get out u r idiotism is beyond imagination
 
Back
Top Bottom