Baada ya Mwl. wapi tutapata Role model mwingine?

Nicholas

JF-Expert Member
Mar 7, 2006
25,260
7,195
Kwa mwenendo wa siasa na tamaduni za tanzania.Tumeona jinsi watanzania pamoja na kutoafikiana na mambo mengi ya mwl.bado wanajikuta wakiangukia kumtumia km reference.Wapo wanafiki , wasiojua pande na wasio wanafiki ila mara zote , kelele zimekuwa zikizimwa pale mtoa hoja akimnukuu mwalimu.wale wampingao mara nyingi hujikuta wakibanwa na hali halisi ambayo inamthibitisha mwalimu.
Je inawezekana kupata mtu ktk miaka ya karibu atakeyeweza leta siasa mbadala na zenye kulipa taifa mwelekeo?Hadi sasa kila kitu kinazunguka siasa za mwalimu tofauti ni kuwa nami kapotosha kidogo kuliko mwenzie maelezo ya mwalimu au hata anayejificha katika kivuli cha mwalimu.
 
Back
Top Bottom