Baada ya Mwakyembe kusafisha ATCL,Marubani wasio na kazi wamwomba aichambue TCAA

Kinyoo

Member
Apr 2, 2012
26
7
Marubani wa kitanzania tena waliojisomesha kwa ela zao,kwa ada ya zaidi ya millioni 60 kila mmoja,
Wanamlilia Waziri kupitisha fagio la chuma TCAA,kwa vile viongozi wa taasisi hiyo kwa sasa wameshikiliwa na
Small airline operators.Watanzania wananyanyaswa kwenye ichi yao,tena wengine kwa ubaguzi wa rangi.Kupata kazi
Kwenye kampuni hizo ni kitu kisichowezekena,na wanaajiri foreigners tena walio na qualification zile zile kama za watanzania.
Cha kushangaza TCAA ndio wanaotoa lesseni kwa wageni hao,kwa vile makampuni hayo yameishika TCAA pabaya.Wamefuta sheria baadhi za usalama wa anga,
Kama ndege zenye viti zaidi ya 9,inayofanya huduma za jamii,lazima irushwe na marubani 2.hii ingeongeza usalama zaidi na ajira kwa watanzania.
Maajabu makampuni haya yaliwahonga tcaa na kufuta sheria hiyo mwaka 2006.wenzetu kenya sheria hii ipo.Hata hapo Kenya tu,
Mtanzania huwezi pata kazi,hapa kwetu ndio wamejazana foreigners,na watanzania wakafilie mbali.Marubani wageni ni zaidi ya asilimia 85 ya marubani wote.
Tunamwomba Waziri wetu utusafishie njia kabla hujaamishwa wizara,waliopita wizara hii walikua hawana lolote la kutusaidia.
Mungu akubariki tupo Pamoja!
 
Maneno yako waziri atayashugulikia amisha yapata, inaonekana wewe ni miongoni kwa marubani watz, ila hilo jina lako linanitisha
 
Kila sekta ingekuwa inaweka uwazi hivi ingesaidia sana......! Ila waletaji wengi wa hoja za msingi hubaki kulia lia kuwa CCM imeshindwa!!! KinYEo hongera!!!! Na wengine tufunguke tuisaidie SERIkalI
 
Maneno yako waziri atayashugulikia amisha yapata, inaonekana wewe ni miongoni kwa marubani watz, ila hilo jina lako linanitisha
siku hizi imehalallishwa, ukiona anajiita hivyo ujue ni member wa lile grupu lileee
 
yaani jana ndo nimeona ukabila ulivyo na nguvu...hivi yule anaye act anaitwa nani?Kapteni Lusajo?? au nilisikia vibaya..huyu si wa Mbeya huyu? na waziri naye anatoka wapi? hahaaa yale yale ya shirika la BIMA yanajirudia
 
Typical case! by all wise and standard utakuwa ni loser tu! badala ya kuona ukabila or whatever njoo hapa barazani na hoja inayoonyesha kuwa cpt Lusajo hana uwezo kwa jukumu alilopewa. Watz tunatakiwa kuangalia competence sio makabila na udini?

Ni viumbe kama wewe ambao wana ufinyu mkubwa upstairs ndio wanachangia kukwamisha maendeleo ya nchi ya TZ. Next time however poor your analytical capability may be just try to be objective.
 
i wish ungejua unaongea na nani na ana uelewa wa kiasi gani sio unakurupuka tu kama unaoga nje..Mwakyembe ni mkabila..period!!!
 
i wish ungejua unaongea na nani na ana uelewa wa kiasi gani sio unakurupuka tu kama unaoga nje..Mwakyembe ni mkabila..period!!!

Hakuna aliye immune kwa u.p.umba.vu,haijalishi wewe ni nani na ni mkubwa kiasi gani,leta hoja kuthibitisha ukabila,ina maana waziri akiwa mhaya hawezi kumteua mhaya simply ni kabila moja ? ungekuja na hoja kuonyesha kwamba kigezo kikubwa cha uteuzi wa mtu husika ni kabila lake, hana uwezo,hana elimu ya kutosheleza etc. Lakini kuhitimisha kwa majina ya kikabila eti ndiyo ukabila,umechemsha mkuu. Lete hoja kuthibitisha huo ukabila...
 
yaani jana ndo nimeona ukabila ulivyo na nguvu...hivi yule anaye act anaitwa nani?Kapteni Lusajo?? au nilisikia vibaya..huyu si wa Mbeya huyu? na waziri naye anatoka wapi? hahaaa yale yale ya shirika la BIMA yanajirudia
Baadaye utasema amechagua mkristo, kisha utasema ni sabato; alafu utasema msabato masalia!
 
Ni upuuzi kusema Mwakyembe kamchagua Lusajo eti kisa ni wa kabila lake!its too low to say so.....Kapten Lusajo ni mtu makini,kwa wasio mfahamu ndo alikuwa Chief Pilot wa ATCL kipindi hichooo cha nyuma...Sasa sijui aliyempa u-chief pilot by then alikuwa wa kabila lake??...amepewa kwa sbb ya uwezo na weledi wake tkt mambo ya AVIATION,tusiwe watu wa kuongea kwa hisia tu
 
Director of Operations ndo right hand man wa CEO ATCL.kwa kuwa Lusajo alikuwa ndo DO basi si ajabu yeye kuwa CEO
 
Ni upuuzi kusema Mwakyembe kamchagua Lusajo eti kisa ni wa kabila lake!its too low to say so.....Kapten Lusajo ni mtu makini,kwa wasio mfahamu ndo alikuwa Chief Pilot wa ATCL kipindi hichooo cha nyuma...Sasa sijui aliyempa u-chief pilot by then alikuwa wa kabila lake??...amepewa kwa sbb ya uwezo na weledi wake tkt mambo ya AVIATION,tusiwe watu wa kuongea kwa hisia tu

Yaelekea nawewe ni ndugu yako
 
Tunachotaka kuona ni ATC inarudi kama zamani, inaongeza ndege kila mwaka na inafanya kazi kwa ufanisi mkubwa, na nyie marubani wa KiTZ mkipewa kazi precision air ikiwalipa hamuwezi kuangusha ndege?
 
i wish ungejua unaongea na nani na ana uelewa wa kiasi gani sio unakurupuka tu kama unaoga nje..Mwakyembe ni mkabila..period!!!

Kwani we nani vile? Yaani hata keyboard unaitishia mkuu. Acha matisho broda! Kama unataka tukuelewe we weka jina lako la kweli hapa tukujue! Hii itakuwekea heshima pindi unapokuwa hapa! Otherwise we ni JF member kama member wengine!
 
We unaesema wakipewa maruban wa kibongo watadondosha ndege!kwanin wadondoshe?....Ni kweli TCAA inabidi ichunguzwe!nimekuwapo Bongo kama rubani kwa miaka kadhaa...marubani wa kitanzia wanapata shda..nenda kampuni kama Coastal Travel,inamilikiwa na Mtaliano anaitwa Nikola,amefanya madudu mengi,anajaili marubani wazungu ili iwe rahis kuiba magendo kupeleka nje,ana camps huko porin na vitalu kibao..anasafilsha nyara kwa kvumia ndege zake,halipi charges ziwe ni TANZANIA AIRPORT AUTHORITY iwe ni TCAA...Amefanya kampun kuwa 95 ni wazungu!wafrika watapewa Cessna204....Mwakyembe pitia TCAA wanashrikiana na Private Local Airlines kuiua ATCL Yetuuuu..
 
Hii ndo tz nchi inayojivunia amani huku tukiwa matajiri wa rasilimali na masikini wakipato na kuishi maisha ya hali ya chini yasiyolingana na rasilimali zetu, je nani atakaetuhakikishi kuwa tuna uhuru?
 
Back
Top Bottom