Baada ya mume wangu kuninyima unyumba kwa miez 8,Nimegundua anamwanamke kazaa naye

Mara nyingi wanawake wakishayakologa ndani ya ndoa zao hutaka huruma za watu wa nje; wanaume ni wavumilivu bali wakichoka na kuanza visa, ndipo mwanamke anapoanza kuhaha. Hapa tunasikia upande mmoja wa mwanamke lakini tungesikia upande mwingine wa mwanaume huenda tungeungana na hao ndugu kumshauri kuoa mwanamke mwingine.
 
4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom