sisi tunashindwa nini kuwa na sheria kama hizi?
hizi sheria za china zikija hapa walahi watu tutanyongwa karibia wooooote hasa wale wa kile chama chaaaaaaaa
sisi tunashindwa nini kuwa na sheria kama hizi?
Kweli kabisa mkuu maana unaweza kunyonga kuanzia mjumbe wa nyumba kumi mpaka magogoni!Mkuu tukiwa na hizi sheria tutapoteza viongozi wote tulionao.
wanakuwa jeuri kwa sababu sheria hiyo hakuna ikija tu hata ukiacha pochi kwenye daladala utaikuta kufa mchezo!
sisi tunashindwa nini kuwa na sheria kama hizi?
.
Mbona nchi yao ndio inayoongoza kwa bidhaa feki duniani. Hakuna kinachonisikitisha kama hizi dawa za kugeuza maumbile mfano makalio ya wanawake; wanazofyetua.
.