Baada ya mtz bwana Zuberi Musa kunyongwa pale China, sasa kesho zamu ya Mchina!

Kumbe china Nuksi nilitaka kuleta Mzigo,aku sitaki tena

.
Mbona nchi yao ndio inayoongoza kwa bidhaa feki duniani. Hakuna kinachonisikitisha kama hizi dawa za kugeuza maumbile mfano makalio ya wanawake; wanazofyetua.
.
 
Ekelege huko ndo kunamfaa. juzi alikwenda Japan, jirani kabisa na China. Nasikia wachina walitokwa udenda walitamani kumdaka wamtie kitanzi!!!
 
na hawa wachina wanaotuletea bidhaa feki huku africa tuwahukumu nini ?

Kwani walitulazimisha kwenda kununua Bidhaa zao?? C njaa zetu wenyewe za Kiafrika na viongozi wetu Feki ndo wanaosababisha bidhaa kuingia nchini
 
Kama anaitwa Le, hanyongwi na atatoroshwa huko gerezani,huo umafia hakufanya kwa faida yake binafsi,There are players behind! sure
 
Kama anaitwa Le, hanyongwi na atatoroshwa huko gerezani,huo umafia hakufanya kwa faida yake binafsi,There are players behind! sure
Mkuu jamaa ashanyongwa, kule huchukui zaidi ya masaa 24 baada ya hukumu, hata hupewi nafasi ya kuaga ndugu!
 
Daah kwa hiyo kama ntakamatika hko ndio inakuwa kwaheri yangu.... Kuna haja ya kuhamia huko.
 
Hivi sheria za kimataifa zinasemaje kuhusu kutoa hukumu kwa mtu mwenye uraia wa kigeni?
 
Hivi sheria za kimataifa zinasemaje kuhusu kutoa hukumu kwa mtu mwenye uraia wa kigeni?
Mkuu China hawaamini sheria za kimataifa, wao huamini sheria zao kwanza kisha mengineyo!
Hawajui ishu za shirika la haki za binadamu wala chochote! Hata akamatwe obama na unga pale Beijing Airport ujue atanyongwa tu!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom