Baada ya mtz bwana Zuberi Musa kunyongwa pale China, sasa kesho zamu ya Mchina!

Yericko Nyerere

JF-Expert Member
Dec 22, 2010
16,985
20,263
Hali ya usimamizi wa sheria mama ya pale uchina inasonga mbele, Baada ya mtz bwana Zuberi Musa kula kisu wiki mbili zilizopita, sasa ni zamu ya mchina Le yung Chen amehukumiwa kunyongwa, baada ya kukabidhiwa toka Canada alikokuwa akiendeshea shughuli za umafia na kumatwa,
Awali china ilisema haitamnyonga baada ya Canada kusita kumkabidhi, lakini alipotua Beijing sheria ya asili hakuikwepa kwani leo amehukumiwa rasmi kula kisu!
 
Saaaaaafi sana uchina .Ngoja tuwabinafshie na usimamizi wa hii serikali yetu.Mtusafishie hawa mafisadi
 
Jicho kwa jicho, jino kwa jino. Ndiyo maana wenzetu wako juu, hakuna kubebana. Uki mess up, off you go!
Hawajui na hawaamini kuhusu shirika la haki za binadamu, Aminest Internation wakijipendekeza tu wajue kisu kinawaita!
 
Le Yung Chen, wamememuhukumu kifungo cha maisha leo baada ya Canada kuwapa masharti China wanawakabidhi lakini wasinyonge.
 
na hawa wachina wanaotuletea bidhaa feki huku africa tuwahukumu nini ?
 
China death sentence, the crimanl pays for the bullets/injection and not with tax payers money
 
Hali ya usimamizi wa sheria mama ya pale uchina inasonga mbele, Baada ya mtz bwana Zuberi Musa kula kisu wiki mbili zilizopita, sasa ni zamu ya mchina Le yung Chen amehukumiwa kunyongwa, baada ya kukabidhiwa toka Canada alikokuwa akiendeshea shughuli za umafia na kumatwa,
Awali china ilisema haitamnyonga baada ya Canada kusita kumkabidhi, lakini alipotua Beijing sheria ya asili hakuikwepa kwani leo amehukumiwa rasmi kula kisu!
Zuberi alifanya nini? weka stori kamili.
 
safiiiii na hiyo ndio sheria kwa walioendelea mana bila kufuata sheria wasingekuwa hapo walipo safi sana china hakuna kupata mali na ufisadi wa kiholela holela safi sanaaaaa kwanini sheria hii isije hata huku tanzania iwakaange wakubwa na watoto wake
 
hizi sheria za china zikija hapa walahi watu tutanyongwa karibia wooooote hasa wale wa kile chama chaaaaaaaa
 
Wanavyojua ku send msg kwa all bad guys mkiomba mwili wa marehem kwa maziko, wanauchoma wanawaletea ashes kwenye box tena kwa DHL. ila hio ndio safi kwani all bada guys na drug dealer will be thinking twice kupeleka mzigo pande izo!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom