baada ya mtu kugongwa na gari na kufa,wanakijiji walilala barabarani kuzuia magari.

Slave

JF-Expert Member
Dec 6, 2010
5,314
2,635
.jana tarehe 8-02-12 gari ndogo iligonga mtu na kufa papo hapo na kusababisha wanakijiji kuvamia barabara na kuiziba kwa mawe.polisi ilifika mapema eneo la tukio na kuzungumza na wanakijiji,madai ya wanakijiji ni juu ya polisi pamoja na tanroad ambao wamekuwa kimya kwa muda mrefu japo wanakiji walikwisha toa taarifa juu ya ongezeko la vifo vinavyo tokana na ajali za magari.ombi lao ilikuwa ni serikali iweke bumps ili kupunguza ajali. Inasemekana mpaka sasa wanakijiji wanapanga kwenda kuvamia barabara kwakuwa yale waliyo kubariana jana kati yao na polisi polisi haikuyafanyia kazi.kuna uwezekano wa kwenda kuharibiwa barabara.
 
Back
Top Bottom