Baada ya Misri sasa tunahamia Algeria

Kishalu

JF-Expert Member
Nov 1, 2010
1,173
708
Baada ya wananchi wa Algeria kusikia kujiuzulu kwa Rais wa Misri,walisherekea na kuanzisha maandamano wakitaka nao mabadiliko,pia viongozi wa upinzani nchini Algeria wameitisha maandamano nchi nzima huku wakikabidhiana na uongozi wa police waliodai viongozi wa vyama vya siasa wanataka kufanya mapinduzi.

Yetu macho na bado tunasubiri TZ
 
Back
Top Bottom