Baada ya Mgomo wa Madaktari: Mgomo wa Wanasheria

Mungi

JF Gold Member
Sep 23, 2010
16,975
9,566
Tunasubiri outcome ya mgomo wa madaktari. Ukifanikiwa kumtoa Mponda na Lucy, utafuatia Mgomo wa wanasheria, wakishinikiza Kombani na Chande wajiuzulu. Wahusika watakuwa majaji, mahakimu na mawakili, agenda yao kuu itakuwa Posho na marupurupu. Ukifanikiwa tu, mgomo wa waalimu kumshinikiza waziri wa Elimu kubwaga manyanga. Baada ya taasisi zote kufuata taratibu hizi, kitakachobaki niku compile taarifa ya kila taasisi na kuungana pamoja, unaanzishwa mgomo wa kwenda kumwondoa Mkulu Magogoni. Pinda is always seems failure. He could have handled this out early in time. Mungu ibariki Tanzania ya watu walio na wasiostaarabika
 
Hahahaha...... ni kama yote yakifanikiwa basi kitakachofuata ni sisi wananchi kugoma kulipa kodi maana ndiyo zinazowatia wazimu.... hahahahahaha
 
Hahahaha...... ni kama yote yakifanikiwa basi kitakachofuata ni sisi wananchi kugoma kulipa kodi maana ndiyo zinazowatia wazimu.... hahahahahaha

bila kusahau kuwa mgomo wetu kama wananchi utahusisha maandamano ya kumshinikiza raisi ajiuzulu
 
Kama Ma Dr. watafanikiwa kwenye kuwaondoka Waziri na Naibu, Migomo itakayofuatia vyuo vikuu ilenge kuwaondoa wakuu wa vyuo mamluki waliokuwa wakipiga mabomu watu. Waalimu wawaondoke mawaziri wizarani, na vibaka waandamane kuondoka polisi ambao wamekuwa wakiwaua kwa visingizio mbalimbali, vipi wanajeshi na mabomu nao waandamane kumuondoa Mwinyi, Wabunge waandamane kumuondoa spika anayeropoka kuwa wanataka kuacha ubunge, hapa sioni mwisho, itakuwa kuondoana tu.
 
Hahahaha...... ni kama yote yakifanikiwa basi kitakachofuata ni sisi wananchi kugoma kulipa kodi maana ndiyo zinazowatia wazimu.... hahahahahaha

Kugoma kulipa kodi haitoshi Mkuu.
 
Ikiwezekana serikali yote iondoke madarakani kwa wakati mmoja kwani imeshindwa kazi kabisa!!!
 
mgomo wa wanaJF utafuata. JF itafungwa kwa wiki mbili hadi pale serikali itakaposikia kilio chetu
 
Back
Top Bottom