Baada ya mahubiri.

Jaguar

JF-Expert Member
Mar 6, 2011
3,438
1,026
Mchungaji mmoja alikuwa akihubiri kanisani mara akamuona mama mmoja akilia kwa uchungu sana.Mchungaji akajua yule mama amechomwa na mahubiri yake,akazidi kuongeza dozi ya neno.Baada ya mahubiri mchungaji akamuita yule mama ashuhudie ni kipi kilichomfanya alie wakati wa mahubiri.Yule mama huku akiendelea kulia akasema;yaani mchungaji kila nikiziona hizo ndevu zako namkumbuka mbuzi wangu beberu aliyeibiwa,napata uchungu mno mpaka naishia kulia tu,ni hayo tu baba mchungaji.
 
Mchungaji na sheikh walikutana safarini ... Katika kuagiza chakula mchungaji akaagiza kitimoto .. akamkaribisha sheikh, sheikh akamwambia situmii hiyo nyama mchungaji akamjibu waislam mnakosa uhondo sana ... Wakipofika safari ilibidi kila mtu achukue hamsini zake katika kuagana sheikh akamwambia mchungaji msalimie mkeo, mchungaji akamjibu haturuhusiwi kuoa sisi sina mke, sheikh akamjibu na nyinyi mnakosa uhondo sana ..:D
 
Mkuu badilisha bwana mchungaji anaoa ambae haoi ni padri tafadhali!
 
Mchungaji na sheikh walikutana safarini ... Katika kuagiza chakula mchungaji akaagiza kitimoto .. akamkaribisha sheikh, sheikh akamwambia situmii hiyo nyama mchungaji akamjibu waislam mnakosa uhondo sana ... Wakipofika safari ilibidi kila mtu achukue hamsini zake katika kuagana sheikh akamwambia mchungaji msalimie mkeo, mchungaji akamjibu haturuhusiwi kuoa sisi sina mke, sheikh akamjibu na nyinyi mnakosa uhondo sana ..:D

Ooopss...!
 
Matarajio ya mchungaji kuhusu kilio cha mama ni chanzo cha ucheshi wa hii joke. Mchungaji alitarajia aambiwe jinsi mahubiri yalivyomgusa mkristo wake lakini kumbe huyu mama alikuwa na yake
Imenichekesha sana ndugu Jaguar, asante
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom